brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,386
- Thread starter
- #261
Goli la uzembe wa kipa Lile halina quality yoyotelile goli bora la mwezi januari mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Goli la uzembe wa kipa Lile halina quality yoyotelile goli bora la mwezi januari mkuu
ATAPATA TABU SANA, HALAFU HUKO LIGI YA MABINGWA ANAENDA KURUKARUKA TUPole sana Swahiba. Na utazidi kuteseka sana mwaka huu.
Kwani Ni uongo Simba wako vizuri kuliko Yanga?SEMA MCHAMBUZI HURU FEKI UNAYEEGEMEA SIMBA
SASA MPAKA LEO HUJUI ULE MSEMO WA ''ONE MISTAKE, ONE GOAL''...HAHAHA POLE SANA
Hahaaa. Hamjawahi kueleweka. Haya bana
MUDA UTASEMA, NGOJA MTOLEWE HUKO KWENYE LIGI YA MABINGWA HASA NYIE UNDERDOG
Ikiwa nyie mnaojiona mnajua soka tulitoka sare ije kuwa Azam. Tuweke akiba ya maneno.
Eti kumfunga yule mwarabu koko wamevimba kichwa eti Vita Club wanaenda kumpiga kwao DuuuhATAPATA TABU SANA, HALAFU HUKO LIGI YA MABINGWA ANAENDA KURUKARUKA TU
SIMBA KWENYE KUNDI LAO NI UNDERDOG- Shafih DAUDA
HAWANIPI SHIDA, MBWEMBWE NYIIINGI, YAANI MECHI YA KWANZA WANAONA NDIO WAMEMALIZA MECHI ZOTE ZA KUNDI NA WAKATI BADO KUNA MLIMA MKUBWA WA KUPANDAEti kumfunga yule mwarabu koko wamevimba kichwa eti Vita Club wanaenda kumpiga kwao Duuuh
Ntakukimbiaje sasa Swahiba. Ila mpaka kufikia hivyo itabidi mnunue sana mechi pamoja na waamuzi.[emoji3][emoji3] Swaiba Mimi nakuonea huruma ujue unaongoza ligi karibia msimu mzima alafu bingwa anakuwa Simba
Usinikimbie tu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]mbona unawaogopa Sana Hawa wacheza bolingo?Eti kumfunga yule mwarabu koko wamevimba kichwa eti Vita Club wanaenda kumpiga kwao Duuuh
Manula yupi anafungwa nusu uwanja huyo? Natumai humzungumzii Tanzania one
Mna ubora ila nje ni nje sababu huwa kuna kila aina ya fitna.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]mbona unawaogopa Sana Hawa wacheza bolingo?
Inamaana wewe huoni ubora wa Simba?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ile sare ya kurogo umesahau Ajib alivyoanzisha mpiraIkiwa nyie mnaojiona mnajua soka tulitoka sare ije kuwa Azam. Tuweke akiba ya maneno.
Mbona Simba hayupo kwenye list yako? au Simba hashiriki ligi kuu msimu huu?Bahati in mwisho wake hii
We msifie tu
Yaani Yanga wanavyotamba utafikiri wanaongoza kundi A kwenye ligi ya Mabingwa Africa kumbe wanawaongoza ndanda na Biashara United
Sent using Jamii Forums mobile app
Simba kuikamata labda nusu fainali uko Huku kwenye makundi sio issueHAWANIPI SHIDA, MBWEMBWE NYIIINGI, YAANI MECHI YA KWANZA WANAONA NDIO WAMEMALIZA MECHI ZOTE ZA KUNDI NA WAKATI BADO KUNA MLIMA MKUBWA WA KUPANDA
Tangu Simba irudi kwenye ubora wake imecheza bigmatch mbili pekee....ile ya yanga na Simba alaf na nkana Kwahyo punguzeni kuongea bado bigmatch zinakuja huko...saoura sio bigmatch ....Mbabane sio bigmatch ...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]mbona unawaogopa Sana Hawa wacheza bolingo?
Inamaana wewe huoni ubora wa Simba?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kupiga pasi sio Tamaduni yetu.Ukiangalia mpira huwezi elewi Yanga wanafungaje maana hata kupiga pass 5 hawawezi
Sent using Jamii Forums mobile app