Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Hivi dada ile tarehe 30 mlitumia mganga gani mpaka mkafanikiwa kupata suluhu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi dada ile tarehe 30 mlitumia mganga gani mpaka mkafanikiwa kupata suluhu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna hadithi ya mwamba ngoma hapo Hajar kubali tu msimbazi kumenoga😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Dada kila mwamba ngoma lazima avutie kwake ujue. 😂😂😂😂
Kila la kher Alex kitenge na wasukuma wote kwa ujumla
Hongera kwa kuwa pamoja nao kwa kupigo..SimbaNguvuMojaKila la heri Stand United tupo pamoja nanyi
W'Alekum Salaam MtaniHahahaaa. Hatimaye umekuja Mtani wangu.
Nikajua uko Taifa hivyo Mtandao unasumbua. 😂😂😂😂😂
A'alekum! Za kuadimika, mzima weye?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Kitenge kwa Yondan kwa Juuko amekuwa Mtandio..SimbaNguvuMoja
Hmm JamaniYanga akishinda tatu, na nyie mnataka hizo hizo. Haya, tumewaona.
😂😂😂😂😂Hivi dada ile tarehe 30 mlitumia mganga gani mpaka mkafanikiwa kupata suluhu?
Nakazia MkuuMagoli ya miamala
Magoli ya miamala