TPL: Yanga yajipigia Azam kwa goli moja bila uwanja wa Uhuru

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Kandanda imeanza hapa uwanja wa Uhuru. Timu zote zimetulia na kucheza kwa tahadhari kubwa
 
Timu ya Wananchi haitawaangusha wananchi
 
Nawaombea Yanga washinde maana wakifungwa watailaumu Simba
 
Yanga wanapiga mpira wa uhakika kama BARCELONA vile. Yanga hii wangecheza na TP MAZEMBE . Na uhakika TP MAZEMBE wangefungwa sio chini ya goli 5
Hahahahahaahahahahahahahah
 
Mwamuzi anajitahidi aonekane bora mbele ya mo apate chochote kitu lakini jitihada zake bado hazijaonekana
 
Yanga wanapiga mpira wa uhakika kama BARCELONA vile. Yanga hii wangecheza na TP MAZEMBE . Na uhakika TP MAZEMBE wangefungwa sio chini ya goli 5
Unazungumzia TP Mazembe wakati likitajwa jina "Lipuli" unakuwa ni kama Panya aliyesikia sauti ya Paka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…