TPL: Yanga yajipigia Azam kwa goli moja bila uwanja wa Uhuru

TPL: Yanga yajipigia Azam kwa goli moja bila uwanja wa Uhuru

Hawa marefa wa Leo kama hawatafungiwa TFF mtoa sababu za msingi.
Kwanza wamewanyima Azamu goli la wazi kabsa .
Afu Yanga wanashika mpira kwenye boksi refa anaacha tu
Wangechezesha mechi ya simba tungesikia mengi
 
Azam anacheza mpira halafu wakifika golini wanapiga vishuti havina nguvu kabisa yaaani hii timu Bakhresa hela zinapotea tu buure .. uwekezaji gani huu. Naona wasimamizi wanao ongoza wapiga dili sio wapenzi wa Azam kabisa. Wana kila kitu uwanja wa mpira na mahitaji yoote na miaka yooote hii mafanikio madogo sana. Bora wajenge kiwanda pale cha kutengeza vifaa vya michezo kuliko timu hii.
 
Hawa wote wanaosifiana wanacheza kandanda safi tulishawagalagalaza hawana hamu na simba
 
Ingekua sio mambo ya marefa kupokea m pesa kutoka kwa mikia, yanga na azam ulitakiwa wawe ndio wanagombania ubingwa

Hii ni moja kati ya comment dhaifu sana msimu huu, typical unazi.
Ifikie mahali tuwe tunakubali angalau ukweli hata mdogo. Simba ni bora zaidi tena kwa mbali kuliko Yanga na Azam combined
 
Hii ni moja kati ya comment dhaifu sana msimu huu, typical unazi.
Ifikie mahali tuwe tunakubali angalau ukweli hata mdogo. Simba ni bora zaidi tena kwa mbali kuliko Yanga na Azam combined
Uzuri wa nini? Kwa kikosi gani

Kiungo cha kina mkude?

Striking ya kina okwi?

Gosli keeping ya aisha?

Sijaona kitu hapo

Timu ya kawaida sana,wapo overrated tu
 
Uzuri wa nini? Kwa kikosi gani
Kiungo cha kina mkude?
Striking ya kina okwi?
Gosli keeping ya aisha?
Sijaona kitu hapo
Timu ya kawaida sana,wapo overrated tu
Overrated wakati waliifunga yanga? Walifika robo fainali CL hivi we jamaa unafikiriaga kweli?
 
Uzuri wa nini? Kwa kikosi gani

Kiungo cha kina mkude?

Striking ya kina okwi?

Gosli keeping ya aisha?

Sijaona kitu hapo

Timu ya kawaida sana,wapo overrated tu
Naunga mkono Hoja. Shafii Dauda huwaita under dog team, Aden Rage huwaita Mbumbumbu FC. Na kunawakati msemaji wao Haji manara aonapo timu hii inamuaibisha huikana kabisa na kusema hyo timu siyo babake wala mamake.
 
Back
Top Bottom