TPL: Yanga yajipigia Azam kwa goli moja bila uwanja wa Uhuru

TPL: Yanga yajipigia Azam kwa goli moja bila uwanja wa Uhuru

Azam wanajaribu kucheza mpira wa chini kama wa Simba (Possession football) ila ndo wanachemka kabisaaa Yanga wamewamudu.
 
Hawa marefa wa Leo kama hawatafungiwa TFF mtoa sababu za msingi.
Kwanza wamewanyima Azamu goli la wazi kabsa .
Afu Yanga wanashika mpira kwenye boksi refa anaacha tu
 
Back
Top Bottom