Yes, kwa manunuzi ya mechi mkuu hakuna kama Mnyama. Nyau were.Imecheza CL robo fainali na ndio bingwa tena msimu huu kaipiga ndala Fc a.k.a Tasaf fc a.k.a mbute fc kaipiga Azam fc tatu.
Ngoja nikupe historia kidogo msimu uliopita Simba alichukua point 4 kwa Azam na Yanga msimu huu tumeshakua nne kwenu Azam tatu bado tuna mchezo nae
Mzee Kwa sasa hakuna Kama mnyama