Wangechezesha mechi ya simba tungesikia mengiHawa marefa wa Leo kama hawatafungiwa TFF mtoa sababu za msingi.
Kwanza wamewanyima Azamu goli la wazi kabsa .
Afu Yanga wanashika mpira kwenye boksi refa anaacha tu
Haswa msimu huu!Hakikaa mkuuu
Wale jamaa wanaharibu sana ligi yetu
Vyura wangeanza kulalamika mnoWangechezesha mechi ya simba tungesikia mengi
Aseee hii game iko motoooooHakikaa mkuuu
Wale jamaa wanaharibu sana ligi yetu
Aseee hii game iko motooooo
Hakikaa mkuuu
Wale jamaa wanaharibu sana ligi yetu
Na game ya leo ndio ulitakiwa iwe fainali...
Alooo batoo la viungo balaaa hapa
Kabisa kabisa
Hahahaha, nimependa hiiIngekua sio mambo ya marefa kupokea m pesa kutoka kwa mikia, yanga na azam ulitakiwa wawe ndio wanagombania ubingwa
[emoji23]Hawa wote wanaosifiana wanacheza kandanda safi tulishawagalagalaza hawana hamu na simba
Ingekua sio mambo ya marefa kupokea m pesa kutoka kwa mikia, yanga na azam ulitakiwa wawe ndio wanagombania ubingwa
Ngapi ngapi na dakika ya ngapiHatimaaaaeeeeeeeeeeeee
Uzuri wa nini? Kwa kikosi ganiHii ni moja kati ya comment dhaifu sana msimu huu, typical unazi.
Ifikie mahali tuwe tunakubali angalau ukweli hata mdogo. Simba ni bora zaidi tena kwa mbali kuliko Yanga na Azam combined
Full time yanga 1-0Ngapi ngapi na dakika ya ngapi
Full time yanga 1-0
Mpiraaa umeishaa....tawi la simba limekufa
Overrated wakati waliifunga yanga? Walifika robo fainali CL hivi we jamaa unafikiriaga kweli?Uzuri wa nini? Kwa kikosi gani
Kiungo cha kina mkude?
Striking ya kina okwi?
Gosli keeping ya aisha?
Sijaona kitu hapo
Timu ya kawaida sana,wapo overrated tu
Naunga mkono Hoja. Shafii Dauda huwaita under dog team, Aden Rage huwaita Mbumbumbu FC. Na kunawakati msemaji wao Haji manara aonapo timu hii inamuaibisha huikana kabisa na kusema hyo timu siyo babake wala mamake.Uzuri wa nini? Kwa kikosi gani
Kiungo cha kina mkude?
Striking ya kina okwi?
Gosli keeping ya aisha?
Sijaona kitu hapo
Timu ya kawaida sana,wapo overrated tu