Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Mikia wakiwa na wale ma ajuza wao hawajui lolote kuhusu kabumbumechi ya leo ndio ilitakima iwe mechi bora ya ligi. yanga na azam wameonyesha kandanda safi, sio mikia kubutua butua tu na kusubiri kubebwa na marefa
Jesus Christ, Hivi mkuu ukiulizwa ni timu gani inaweka mpira chini inacheza kandanda la kuvutia ina posses mpira, inapata matokeo na ndio timu bora kwa sasa bongo utajibu ipi ukiondoa unazi?mechi ya leo ndio ilitakima iwe mechi bora ya ligi. yanga na azam wameonyesha kandanda safi, sio mikia kubutua butua tu na kusubiri kubebwa na marefa
Ujanja ujanja...Overrated wakati waliifunga yanga? Walifika robo fainali CL hivi we jamaa unafikiriaga kweli?
Kabisa kabisaaNaunga mkono Hoja. Shafii Dauda huwaita under dog team, Aden Rage huwaita Mbumbumbu FC. Na kunawakati msemaji wao Haji manara aonapo timu hii inamuaibisha huikana kabisa na kusema hyo timu siyo babake wala mamake.
Tukiondoa unazi Simba wanahonga marefaJesus Christ, Hivi mkuu ukiulizwa ni timu gani inaweka mpira chini inacheza kandanda la kuvutia ina posses mpira, inapata matokeo na ndio timu bora kwa sasa bongo utajibu ipi ukiondoa unazi?
Imecheza CL robo fainali na ndio bingwa tena msimu huu kaipiga ndala Fc a.k.a Tasaf fc a.k.a mbute fc kaipiga Azam fc tatu.Ujanja ujanja...
Ila narudia tena mikia hamna timu ni kikundi cha wahuni tu wanaotimia pesa kudhoofisha upinzani
Naona haya matokeo yamekuumiza kuliko hata Bakhressa mwenyewe. Pole sana kama ulikuwa na matokeo yako mfukoni.Azam anacheza mpira halafu wakifika golini wanapiga vishuti havina nguvu kabisa yaaani hii timu Bakhresa hela zinapotea tu buure .. uwekezaji gani huu. Naona wasimamizi wanao ongoza wapiga dili sio wapenzi wa Azam kabisa. Wana kila kitu uwanja wa mpira na mahitaji yoote na miaka yooote hii mafanikio madogo sana. Bora wajenge kiwanda pale cha kutengeza vifaa vya michezo kuliko timu hii.
Una ushahidi?? Unajua kambuzi aliifanyia favour hizohizo Yanga na hakupewa adhabu mtani au hufahamu?Tukiondoa unazi Simba wanahonga marefa
Hii simba ni mbovu sana,haijafikia hata simba ya wale madogo kina ajib na wenzieImecheza CL robo fainali na ndio bingwa tena msimu huu kaipiga ndala Fc a.k.a Tasaf fc a.k.a mbute fc kaipiga Azam fc tatu.
Ngoja nikupe historia kidogo msimu uliopita Simba alichukua point 4 kwa Azam na Yanga msimu huu tumeshakua nne kwenu Azam tatu bado tuna mchezo nae
Mzee Kwa sasa hakuna Kama mnyama
Sana tu.....muamala na pia wanacheza na mechi zetu hawa.Tukiondoa unazi Simba wanahonga marefa
Kwa hyo miamala huwa inasomeka Mara mbilimbili?Sana tu.....muamala na pia wanacheza na mechi zetu hawa.
Kunywa maji kwanza.Hii simba ni mbovu sana,haijafikia hata simba ya wale madogo kina ajib na wenzie
Naona umeumia azam kufungwa kuliฤทo hata Bakhresa mwenye timลซLigi ya Tanzania Dhaifu Sana yaani timi Kama Yanga eti ndo inaongoza ligi Cha ajabu Azam wanakubali kufungwa na Hawa omba omba
Ni aibu unafungwa na timu iliotoka kugoma juzi
๐๐๐๐๐๐๐ ukikumbisha habari za tp mazembe utashitakiwa na manaraYanga wanapiga mpira wa uhakika kama BARCELONA vile. Yanga hii wangecheza na TP MAZEMBE . Na uhakika TP MAZEMBE wangefungwa sio chini ya goli 5
Kama ni bora, mbona inatembeza mlungula kila mechi, acha kujifanya kipofu weweHii ni moja kati ya comment dhaifu sana msimu huu, typical unazi.
Ifikie mahali tuwe tunakubali angalau ukweli hata mdogo. Simba ni bora zaidi tena kwa mbali kuliko Yanga na Azam combined