Yes, kwa manunuzi ya mechi mkuu hakuna kama Mnyama. Nyau were.Imecheza CL robo fainali na ndio bingwa tena msimu huu kaipiga ndala Fc a.k.a Tasaf fc a.k.a mbute fc kaipiga Azam fc tatu.
Ngoja nikupe historia kidogo msimu uliopita Simba alichukua point 4 kwa Azam na Yanga msimu huu tumeshakua nne kwenu Azam tatu bado tuna mchezo nae
Mzee Kwa sasa hakuna Kama mnyama
Manara kasema hadi 2026 Simba SC itakuwa bingwa mfululizoYes, kwa manunuzi ya mechi mkuu hakuna kama Mnyama. Nyau were.
Kila mtu ashinde mechi zakeHaya matokeo simba wameumia kuliko Azam wenyewe waliofungwa
Walifika kwa kupiliza midawa wewe hujaona malalamiko ya as vitaOverrated wakati waliifunga yanga? Walifika robo fainali CL hivi we jamaa unafikiriaga kweli?
Huyo msikilizeni mikia nyie hamkawii kufukuzana, midomo michafuManara kasema hadi 2026 Simba SC itakuwa bingwa mfululizo
Mo anatoa hela eti kuikomoa yangaYes, kwa manunuzi ya mechi mkuu hakuna kama Mnyama. Nyau were.
Na pale Congo ilikuwa wapigwe 7 au 8 hivi kwa hesabu za kosakosa ya TP mazembe mikia wanafeli wapi mechi za nje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukikumbisha habari za tp mazembe utashitakiwa na manara
πππ Kama mfatiliaji wa mpira ukiweka kando unazi unaamini walipuliziwa?Walifika kwa kupiliza midawa wewe hujaona malalamiko ya as vita
Niliona picha jamaa wamejifunga vitambaa puani, walilalamika ila sijui kama uchunguZi unafanyika au la,[emoji13][emoji13][emoji13] Kama mfatiliaji wa mpira ukiweka kando unazi unaamini walipuliziwa?
Zile ni propaganda hata Farid kubanda alikwisha ziimba miaka mingi sana iliyopita.Niliona picha jamaa wamejifunga vitambaa puani, walilalamika ila sijui kama uchunguZi unafanyika au la,