TRA 2025: Tupeane Mbinu za kufaulu Usaili (Interview) Za TRA

TRA 2025: Tupeane Mbinu za kufaulu Usaili (Interview) Za TRA

Pesa za nnje nnje sio , ndio maana kuna baba yangu mdogo yeye mda wote ni kuweka miwani juu ya kichwa na kuchomekea t-shirt ndani ya jinsi na kuwalamba vidampa wa mjini, kumbe anajichotea bila kipo tu🤔
Na walivyojaa wachaga sasa 😹😹
Wachaga nawakubali kwa kunusa fursa na wengi wanawekana..!!
Sijui waliambiwa ni mali yao mpk wanarithishana 🤣
 
Habarini Wakuu!!!!!!

Kama mlivyoona kwenye mitandao ya kijamii. Mamlaka ya Mapato nchini Tanzania wametoa fursa za ajira kwa vijana wa kitanzania.

Fursa ni nyingi kweli na wamegusa fani nyingi tu. Jumla ya nafasi walizotangaza ni 1596.

Kwa hiyo Wakuu kama kuna mtu ana link ya Group ambao wana solve maswali kwa ajili ya kujiandaa na Interview hii naomba uweke link hapo chini ili watu tujumuike wote.

Ushirikiano ni muhimu watu wote watoboe. Cha muhimu kufika kwenye Oral.

Na kama una hints au topic au maswali unajua yataulizwa, tusaidie kuweka chini hapo kwenye comment ili wengi wafaidike.

Shukran.
Confidence
Smartness (usinyoe kiduku)
Be knowledgeable
Don't panic
Bring with you all the academic credentials & CV
Practice your language (interview language lines are universal)
 
😹😹 Min yani ndugu zako unawajua wapenda pesa halafu unawakabidhi kibubu kweli??

Huko TRA nimekwambia sio mali ya ukoo hivyo hawawezi kugombana, ni km nyani wanapeana taarifa wakavamie shamba la mahindi..!! Mwenye hasara mkulima sio wao kwa wao.!!
Wachaga wa sasa hasa hawa vijana wa 2000 ni shida nimempa dogo asimamie biashara yeye kaito,,,bea yote.😅😅
 
Back
Top Bottom