TRA 2025: Tupeane Mbinu za kufaulu Usaili (Interview) Za TRA

TRA 2025: Tupeane Mbinu za kufaulu Usaili (Interview) Za TRA

😹😹😹 Labda ajira za ZRA ila km TRA narudia tena atajichosha..!
Wewe unafananisha miaka yako ya enzi ya mwalimu na ajira za ss hivi..!
Acha watu waombe don't preach negativity

Kuna watu kiasili they will never win any success battle .

So usiwakatishe watu tamaa WTF Kama wewe ulikosa amini tu ni wewe .
 
Habarini Wakuu!!!!!!

Kama mlivyoona kwenye mitandao ya kijamii. Mamlaka ya Mapato nchini Tanzania wametoa fursa za ajira kwa vijana wa kitanzania.

Fursa ni nyingi kweli na wamegusa fani nyingi tu. Jumla ya nafasi walizotangaza ni 1596.

Kwa hiyo Wakuu kama kuna mtu ana link ya Group ambao wana solve maswali kwa ajili ya kujiandaa na Interview hii naomba uweke link hapo chini ili watu tujumuike wote.

Ushirikiano ni muhimu watu wote watoboe. Cha muhimu kufika kwenye Oral.

Na kama una hints au topic au maswali unajua yataulizwa, tusaidie kuweka chini hapo kwenye comment ili wengi wafaidike.

Shukran.
Mkuu hapoo n MAOMBIII tyu

MWAKA Jana nilikuwa na shemejio WA Uganda pale sinzaa hotel Moja

Wakati nakula lunch jamaa MMOJA PEMBEN anaelekezwa jinsi ya kujibu hayo maswali ya tra na interview keshoyake na hadi calculations.,naamini jamaa Yuko kazini kwa sasa...ningejua ningechukia namba yake ingawa jamaa alikuwa kama anauwoga pemben nani baadae WAKAHAMIA mezan ya mbali
 
Back
Top Bottom