TRA 2025: Tupeane Mbinu za kufaulu Usaili (Interview) Za TRA

TRA 2025: Tupeane Mbinu za kufaulu Usaili (Interview) Za TRA

😹😹😹 Labda ajira za ZRA ila km TRA narudia tena atajichosha..!
Wewe unafananisha miaka yako ya enzi ya mwalimu na ajira za ss hivi..!
We dada nilikua nakuona mtu wa maana kwenye jukwaaa kumbe ni mpumbavu kabisa inawezekana una elimu ndogo.

Watu wanakula vitengo mpaka wizara za fedha bila connection watoto wa makapuku kabisa. Wewe hapo unaoenea wivu wenzio walio na vyeti
 
Wakuu msaada hapa kwenye kujaza Qualifications ni kwamba una - upload file moja lenye vyeti vyote ( yani kuanzia cheti cha kuzaliwa hadi chuo ) ??

Au inabidi tu upload cheti kimoja moja ??
Mkuu kabla huja upload embu nisaidie wazo la kujaza pale kwenye "pascode." Maana imekuwa kipengele kwa sisi tulio kwamia hapo mpaka sasa.
 
Aliyekwambia wanawake wanapambana bila kudanga nani? 😹

Hata hao waliowekwa huko juu usifikiri wamejiweka tu.!! Hakuna mwanaume anakubali kuona jinsia ke inamtawala lazima kuna namna imefanyika..!!
Bora umeamua kukuiri, hio wakulungwa tu ndio tunaelewa😁 ukimuona ngedere mjini jua ana mwenyewe.
 
Kuna Dereva alienda kufanya usaili nafasi ilikuepo moja tu.

Na hakupata nafasi

Ila baadae aliitwa pale wizara ya mambo ya nje na sasa yupo Serikali kuu Kama dereva ,posho, kibao

Hakuwa na connection yoyote Ila the guy now he made it .

So mambo ya connection yapo Ila we need to live in limitless world and the world of possibilities.
Udereva huwa hauna dili sana kama vitengo vya kula kiyoyozi ndani ya ghorofa pacha mule
 
Habarini Wakuu!!!!!!

Kama mlivyoona kwenye mitandao ya kijamii. Mamlaka ya Mapato nchini Tanzania wametoa fursa za ajira kwa vijana wa kitanzania.

Fursa ni nyingi kweli na wamegusa fani nyingi tu. Jumla ya nafasi walizotangaza ni 1596.

Kwa hiyo Wakuu kama kuna mtu ana link ya Group ambao wana solve maswali kwa ajili ya kujiandaa na Interview hii naomba uweke link hapo chini ili watu tujumuike wote.

Ushirikiano ni muhimu watu wote watoboe. Cha muhimu kufika kwenye Oral.

Na kama una hints au topic au maswali unajua yataulizwa, tusaidie kuweka chini hapo kwenye comment ili wengi wafaidike.

Shukran.
Toa jicho ufaulu
 
Hapana mkuu kwenye kufungua account ya ajira pale baada ya verify password kwa mara ya pili ndio inakuja enter one time passcode, na yenyewe pia ina sema verify, bila ya hiyo passcode haifunguki kabisa
Kwa upande wangu mimi

Nihivi nilipotengeneza email na password ilinitengeneze account ilinitaka ni active account ,, ambopo ilinitaka niende kwenye email yangu kule kuna link nilitumiwa na TRA wao wanaiita " Activation link " nilipoenda kule ( kwenye inbox ya email yangu sasa ) na kuikuta niliifungua ile link na pale pale ikaniambia "your account has been activated arlead "

Basi nikarudi sehemu ya ku-log in

Nikaingiza emai then password lakin pale chini kabisa tena inabidi u- verify kwa kuweka vijierufi fulani watakavyo kuwekea wao

Sasa sijajua huenda mchagato wa ufunguaji account unatofautiana
 
Back
Top Bottom