Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Nina Diploma ya ICT na Bachelor ya MarketingWe umesoma ICT nimeona Kama ipo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina Diploma ya ICT na Bachelor ya MarketingWe umesoma ICT nimeona Kama ipo
Mkuu naomba nisaidie kwenye kutengeneza password kila nikijaribu inashindikanaKwa upande wangu mimi
Nihivi nilipotengeneza email na password ilinitengeneze account ilinitaka ni active account ,, ambopo ilinitaka niende kwenye email yangu kule kuna link nilitumiwa na TRA wao wanaiita " Activation link " nilipoenda kule ( kwenye inbox ya email yangu sasa ) na kuikuta niliifungua ile link na pale pale ikaniambia "your account has been activated arlead "
Basi nikarudi sehemu ya ku-log in
Nikaingiza emai then password lakin pale chini kabisa tena inabidi u- verify kwa kuweka vijierufi fulani watakavyo kuwekea wao
Sasa sijajua huenda mchagato wa ufunguaji account unatofautiana
Hakikisha password yako ina mchanganyiko wa namba herifu na alama mbalimhali kama kiulizo mkato nkMkuu naomba nisaidie kwenye kutengeneza password kila nikijaribu inashindikana
Shukran kakaHakik
Hakikisha password yako ina mchanganyiko wa namba herifu na alama mbalimhali kama kiulizo mkato nk
Mfano
Password :joble$$2025 au
unaweza kuweka job?less,20
Kusema ukweli ni kukatisha tamaa mtu? 😹Nyie mnaokatisha wenzenu tamaa ndo huwa mnaomba Sana ni vile hampati
Bila connection hutoboiHabarini Wakuu!!!!!!
Kama mlivyoona kwenye mitandao ya kijamii. Mamlaka ya Mapato nchini Tanzania wametoa fursa za ajira kwa vijana wa kitanzania.
Fursa ni nyingi kweli na wamegusa fani nyingi tu. Jumla ya nafasi walizotangaza ni 1596.
Kwa hiyo Wakuu kama kuna mtu ana link ya Group ambao wana solve maswali kwa ajili ya kujiandaa na Interview hii naomba uweke link hapo chini ili watu tujumuike wote.
Ushirikiano ni muhimu watu wote watoboe. Cha muhimu kufika kwenye Oral.
Na kama una hints au topic au maswali unajua yataulizwa, tusaidie kuweka chini hapo kwenye comment ili wengi wafaidike.
Shukran.
😹😹😹 cazee mbona umeumia sana hutaki shemeji 🤣Unataftiwa timming ya kumbwato 😂 huyo wakala wa Veggies atakupasulia mayai na kukuacha kwenye mataa ya Salender Bridge. Jimix by Yas ujae kwenye mfumo wa mjumbe wa kamati😁
Imeishaaa hiyo 😹Bora umeamua kukuiri, hio wakulungwa tu ndio tunaelewa😁 ukimuona ngedere mjini jua ana mwenyewe.
We kibuyu kweli kwahiyo kazi yako humu kufatilia nani wa maana na nani sio wa maana unalipwa?? 😹😹We dada nilikua nakuona mtu wa maana kwenye jukwaaa kumbe ni mpumbavu kabisa inawezekana una elimu ndogo.
Watu wanakula vitengo mpaka wizara za fedha bila connection watoto wa makapuku kabisa. Wewe hapo unaoenea wivu wenzio walio na vyeti
OkayWa kunyumba nakuomba PM dear
Kweli zinazoumia ni sehemu za siri alooWe kibuyu kweli kwahiyo kazi yako humu kufatilia nani wa maana na nani sio wa maana unalipwa?? 😹😹
Ushajiuliza wale vyeti fake walipataje ajira serikalini?? Kiazi kweli wewe..!!
Sikiza we taahira hii sirudii tena, “TRA KAMA HUNA CONNECTION SAHAU KUPATA KAZI”
Hiyo uwe unapenda au hupendi, habari ndio hiyo.!!
😁😁😁😁😁😁Wapo waliodhani!!!😹😹😹 cazee mbona umeumia sana hutaki shemeji 🤣
Huyu anafanya kweli mwenyewe down town kitambo, album haizinduliwi mpk niingie mjengoni..!!
Tulia wewe 😹😁😁😁😁😁😁Wapo waliodhani!!!
😂😂😂😂😂😂 Sawa kamandaTulia wewe 😹
Mimi km jeshi la Rwanda napigana vita huku nachota madini..!! 🤣