TRA 2025: Tupeane Mbinu za kufaulu Usaili (Interview) Za TRA

TRA 2025: Tupeane Mbinu za kufaulu Usaili (Interview) Za TRA

Kwa upande wangu mimi

Nihivi nilipotengeneza email na password ilinitengeneze account ilinitaka ni active account ,, ambopo ilinitaka niende kwenye email yangu kule kuna link nilitumiwa na TRA wao wanaiita " Activation link " nilipoenda kule ( kwenye inbox ya email yangu sasa ) na kuikuta niliifungua ile link na pale pale ikaniambia "your account has been activated arlead "

Basi nikarudi sehemu ya ku-log in

Nikaingiza emai then password lakin pale chini kabisa tena inabidi u- verify kwa kuweka vijierufi fulani watakavyo kuwekea wao

Sasa sijajua huenda mchagato wa ufunguaji account unatofautiana
Mkuu naomba nisaidie kwenye kutengeneza password kila nikijaribu inashindikana
 
Nashindwa kuelewa kwenye huu mfumo

Personal informations nimejaza zinejisave vizuri tu
Balaa linaanzia hapa kwenye Academic qualifications kila nikiweka taarifa nikitoka nikirudi nakuta hamna kitu ,, nikiweka nikienda kipengele kingine nikirudi hamna kitu
Jamani msaada nifanyaje niweze kusave taarifa zangu kwenye hichi kipengere
 
Habarini Wakuu!!!!!!

Kama mlivyoona kwenye mitandao ya kijamii. Mamlaka ya Mapato nchini Tanzania wametoa fursa za ajira kwa vijana wa kitanzania.

Fursa ni nyingi kweli na wamegusa fani nyingi tu. Jumla ya nafasi walizotangaza ni 1596.

Kwa hiyo Wakuu kama kuna mtu ana link ya Group ambao wana solve maswali kwa ajili ya kujiandaa na Interview hii naomba uweke link hapo chini ili watu tujumuike wote.

Ushirikiano ni muhimu watu wote watoboe. Cha muhimu kufika kwenye Oral.

Na kama una hints au topic au maswali unajua yataulizwa, tusaidie kuweka chini hapo kwenye comment ili wengi wafaidike.

Shukran.
Bila connection hutoboi
 
Unataftiwa timming ya kumbwato 😂 huyo wakala wa Veggies atakupasulia mayai na kukuacha kwenye mataa ya Salender Bridge. Jimix by Yas ujae kwenye mfumo wa mjumbe wa kamati😁
😹😹😹 cazee mbona umeumia sana hutaki shemeji 🤣

Huyu anafanya kweli mwenyewe down town kitambo, album haizinduliwi mpk niingie mjengoni..!!
 
We dada nilikua nakuona mtu wa maana kwenye jukwaaa kumbe ni mpumbavu kabisa inawezekana una elimu ndogo.

Watu wanakula vitengo mpaka wizara za fedha bila connection watoto wa makapuku kabisa. Wewe hapo unaoenea wivu wenzio walio na vyeti
We kibuyu kweli kwahiyo kazi yako humu kufatilia nani wa maana na nani sio wa maana unalipwa?? 😹😹
Ushajiuliza wale vyeti fake walipataje ajira serikalini?? Kiazi kweli wewe..!!

Sikiza we taahira hii sirudii tena, “TRA KAMA HUNA CONNECTION SAHAU KUPATA KAZI”
Hiyo uwe unapenda au hupendi, habari ndio hiyo.!!
 
We kibuyu kweli kwahiyo kazi yako humu kufatilia nani wa maana na nani sio wa maana unalipwa?? 😹😹
Ushajiuliza wale vyeti fake walipataje ajira serikalini?? Kiazi kweli wewe..!!

Sikiza we taahira hii sirudii tena, “TRA KAMA HUNA CONNECTION SAHAU KUPATA KAZI”
Hiyo uwe unapenda au hupendi, habari ndio hiyo.!!
Kweli zinazoumia ni sehemu za siri aloo
 
Back
Top Bottom