TRA 2025: Tupeane Mbinu za kufaulu Usaili (Interview) Za TRA

Wakuu tutulie kila mtu ataitwa maana walisema ku select ni robbot litafanya kazi hiyo sio binadamu ila hurusiwi kuruka kipengele chochote kwenye vile vilivyowekewa *

tuendelee kupiga msuli mwenye ma group ya H.R na administrative officer naomba a share link

Pia nilikua naomba kujua wenye uzoefu inachukua muda gani kuita watu kwenye usaili?? Au ndio kama yale ya utumishi miezi 8
 
Nadhani ikizidi sana ni miezi 3.. Mwaka 2023 deadline ilikuwa June.. Interview tukaitwa September.. Sijajua Mwaka huu!!
 

Mzee na Mimi nahitaji hiyo link ya HR kama ipo
 
Engineers mbona kimya, sijasikia mining, mineral, petroleum, chemical, textile, mechanical wakiitana humu!!
 
Kama ni selection za robot si wabonyeze tuu hiyo button selection zitoke tuendelee na mambo mengine wasije wakawa kama secretariet tumefanya application August mpaka leo no interview yaani miezi 7 inaenda unasoma miezi 7 kujianda na interview kama nasoma Masters ya IAA
 
Kweli kabisa
 
Wakuu naulizia mwenye Link ya group la TRANSPORT OFFICERS (T.O's) kama lipo aweke link hapa

Nazitanguliza shukrani zangu
 
Changamoto sio kupiga msuli....Changamoto watu tumeappply zaidi ta nafasi moja hivyo unashindwa kujua which is which😂
 
Changamoto sio kupiga msuli....Changamoto watu tumeappply zaidi ta nafasi moja hivyo unashindwa kujua which is which😂
Sema hiyo ndio shida mkuu aman huna muda ndio unatambua piga kote kote mkuu left na right poppte kambi jifue hata for future
 
Kuna link yoyote ya maswali mkuu ya TRA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…