Huki TRA kuna asali gani?Sio kwa ajira za TRA, kuna watu na pesa wametoa lakini wamekosa.!!
Poleni sana sijawahi kuwa kibonge, labda km wewe bonge unataka kunipunguzia minyama uzembe yako useme..!!Kibonge upo
Huko mpk dereva ana maisha mazuri min πΉHuki TRA kuna asali gani?
Pesa za nnje nnje sio , ndio maana kuna baba yangu mdogo yeye mda wote ni kuweka miwani juu ya kichwa na kuchomekea t-shirt ndani ya jinsi na kuwalamba vidampa wa mjini, kumbe anajichotea bila kipimoHuko mpk dereva ana maisha mazuri min πΉ
Hawa wakusanya ushuru wanapiga sana mipunga huko..!!
Na walivyojaa wachaga sasa πΉπΉPesa za nnje nnje sio , ndio maana kuna baba yangu mdogo yeye mda wote ni kuweka miwani juu ya kichwa na kuchomekea t-shirt ndani ya jinsi na kuwalamba vidampa wa mjini, kumbe anajichotea bila kipo tuπ€
ConfidenceHabarini Wakuu!!!!!!
Kama mlivyoona kwenye mitandao ya kijamii. Mamlaka ya Mapato nchini Tanzania wametoa fursa za ajira kwa vijana wa kitanzania.
Fursa ni nyingi kweli na wamegusa fani nyingi tu. Jumla ya nafasi walizotangaza ni 1596.
Kwa hiyo Wakuu kama kuna mtu ana link ya Group ambao wana solve maswali kwa ajili ya kujiandaa na Interview hii naomba uweke link hapo chini ili watu tujumuike wote.
Ushirikiano ni muhimu watu wote watoboe. Cha muhimu kufika kwenye Oral.
Na kama una hints au topic au maswali unajua yataulizwa, tusaidie kuweka chini hapo kwenye comment ili wengi wafaidike.
Shukran.
Mimi nimejaribu kuchukua vijana wa kwetu ila naambulia kupigwa tu , kwa hiyo hili unalosema sio kwa kila mtu.Na walivyojaa wachaga sasa πΉπΉ
Wachaga nawakubali kwa kunusa fursa na wengi wanawekana..!!
Sijui waliambiwa ni mali yao mpk wanarithishana π€£
Wee uko TRA πΉMimi nimejaribu kuchukua vijana wa kwetu ila naambulia kupigwa tu , kwa hiyo hili unalosema sio kwa kila mtu.
Kibonge bwanaWee uko TRA πΉ
Sasa lengo la kuwachukua ni nini?
Huko TRA hakuna kufatiliana, kwanza huibiwi wewe hapo ni wananchi ndio tunaibiwa, sasa watagombana vipi?? π€£
No sio TRA ni kwenye mishe nyingine tuWee uko TRA πΉ
Sasa lengo la kuwachukua ni nini?
Huko TRA hakuna kufatiliana, kwanza huibiwi wewe hapo ni wananchi ndio tunaibiwa, sasa watagombana vipi?? π€£
πΉπΉ Min yani ndugu zako unawajua wapenda pesa halafu unawakabidhi kibubu kweli??No sio TRA ni kwenye mishe nyingine tu
Wachaga wa sasa hasa hawa vijana wa 2000 ni shida nimempa dogo asimamie biashara yeye kaito,,,bea yote.π ππΉπΉ Min yani ndugu zako unawajua wapenda pesa halafu unawakabidhi kibubu kweli??
Huko TRA nimekwambia sio mali ya ukoo hivyo hawawezi kugombana, ni km nyani wanapeana taarifa wakavamie shamba la mahindi..!! Mwenye hasara mkulima sio wao kwa wao.!!
Akifikia kuipigia nyeto ndo utajua hujui πΉWachaga wa sasa hasa hawa vijana wa 2000 ni shida nimempa dogo asimamie biashara yeye kaito,,,bea yote.π π
Cha kushangaza nyero ni mimi nilie mpa napiga ππAkifikia kuipigia nyeto ndo utajua hujui πΉ
πΉπΉπΉ Mwenzio anailia kitu motro OG wewe unajitesa na sabuni.!!Cha kushangaza nyero ni mimi nilie mpa napiga ππ