- Thread starter
- #41
Haya bwana!Wewe utakuwa kapumbavu! Mbona tumevuka lengo la makusanyo kwa mwezi September? Wacha tu watu waendelee hivyo hivyo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya bwana!Wewe utakuwa kapumbavu! Mbona tumevuka lengo la makusanyo kwa mwezi September? Wacha tu watu waendelee hivyo hivyo!
Hili jambo sijui limewashinda TRA au vipi? Kama vipi waajiri watu kukagua Kila anaetoka kwenye badhi ya maduka makubwa.Juma mosi nilienda kariakoo kununua bidhaa kwenye duka linalomirikiwa na mtu mwenye asili ya kichina mara baada ya kufika muuzaji akamiambia yafatayo
▪︎Kitu unachotaka kununua ni cha laki na hamsini ila bila risiti laki na thelathini elfu
▪︎Na ukitaka bila risiti kabisa ni laki na ishirini elfu
Wakati niko pale akaja mtu anachukua pisi kama 20 za hiyo bidhaa yule dada akaniambia kaka unamuona huyu pamoja na kwamba anachukua pisi ishirini tunamwandikia risiti ya laki tano ya kutembea nayo iwapo akikutana na TRA isiwe usumbufu kwake!.
▪︎ Nilijiuliza sana kwa jinsi yule dada wa kichina anavyokuwa akiprint risiti za uongo mbele yetu watanzania na je ingekuwa mtanzania yuko huko kwao akifanya hivo ingekuwaje?
OMBI
•Naomba sana serkali iendelee kutoa elimu kwa wananchi kuhusu umuhimu wa kulipa kodi ikiwa ni pamoja na kuomba risiti na hii itasaidia vijana wetu kukua na mtazamo huo wa kutoa kodi!
•serkali ijikite katika kuwafatilia wafanya biashara pasipo kuchoka maana ukwepaji wa kodi upo kwa kiasi kikubwa sana saizi maana anapouza bila kutoa risiti anaiibia serkali
•Serkali itambue bila kuwazoesha watanzania hususani wafanya biashara kutoa kodi kwa uaminifu itapoteza mapato mengi sana!
•Serkali itambue kama mwananchi wa kawaida a anakatwa tozo hivo hivo na mfanya biashara kama ilivo kwa mfanya kazi ni lazima alipe kodi ya serkali!
•Serkali itambue pia kwenye suala la kodi hakuna urafiki hapo kuna uwajibikaji kwa kila upande bila kupepesa macho.
•Serkali iachane na kujipendekeza kwa watu ili kuomekana kuwa ni serkali nzuri ndio maana Mwalimu Nyerere alisema serkali fisadi haikusanyi kodi!
•RAIS SAMIA kwenye hili uwe mkali na mwelevu tofauti na hapo mambo yatakuwa mabaya sana hapo baadae yaani watu hawaombi wala kutoa risiti!
HITIMISHO
Watanzania tuweni wazalendo pamoja na serkali kufanya kazi yake kikamirifu ya kukusanya kodi kupitia TRA. Na hii itatuepusha kukimbizana na watu wa hali ya chini kwa kuweka tozo zisizo na msingi!
Hizi elimu zianzie shule na huu ndio uzalendo wenyewe hata mtaani watu waelimishwe kwamba huduma wanazohitaji zitapatikana kwa watu kudai risiti,ukinunua anaelipa kodi ninunuzi ukiacha unampa faida muuzaji .Juma mosi nilienda kariakoo kununua bidhaa kwenye duka linalomirikiwa na mtu mwenye asili ya kichina mara baada ya kufika muuzaji akamiambia yafatayo
▪︎Kitu unachotaka kununua ni cha laki na hamsini ila bila risiti laki na thelathini elfu
▪︎Na ukitaka bila risiti kabisa ni laki na ishirini elfu
Wakati niko pale akaja mtu anachukua pisi kama 20 za hiyo bidhaa yule dada akaniambia kaka unamuona huyu pamoja na kwamba anachukua pisi ishirini tunamwandikia risiti ya laki tano ya kutembea nayo iwapo akikutana na TRA isiwe usumbufu kwake!.
▪︎ Nilijiuliza sana kwa jinsi yule dada wa kichina anavyokuwa akiprint risiti za uongo mbele yetu watanzania na je ingekuwa mtanzania yuko huko kwao akifanya hivo ingekuwaje?
OMBI
•Naomba sana serkali iendelee kutoa elimu kwa wananchi kuhusu umuhimu wa kulipa kodi ikiwa ni pamoja na kuomba risiti na hii itasaidia vijana wetu kukua na mtazamo huo wa kutoa kodi!
•serkali ijikite katika kuwafatilia wafanya biashara pasipo kuchoka maana ukwepaji wa kodi upo kwa kiasi kikubwa sana saizi maana anapouza bila kutoa risiti anaiibia serkali
•Serkali itambue bila kuwazoesha watanzania hususani wafanya biashara kutoa kodi kwa uaminifu itapoteza mapato mengi sana!
•Serkali itambue kama mwananchi wa kawaida a anakatwa tozo hivo hivo na mfanya biashara kama ilivo kwa mfanya kazi ni lazima alipe kodi ya serkali!
•Serkali itambue pia kwenye suala la kodi hakuna urafiki hapo kuna uwajibikaji kwa kila upande bila kupepesa macho.
•Serkali iachane na kujipendekeza kwa watu ili kuomekana kuwa ni serkali nzuri ndio maana Mwalimu Nyerere alisema serkali fisadi haikusanyi kodi!
•RAIS SAMIA kwenye hili uwe mkali na mwelevu tofauti na hapo mambo yatakuwa mabaya sana hapo baadae yaani watu hawaombi wala kutoa risiti!
HITIMISHO
Watanzania tuweni wazalendo pamoja na serkali kufanya kazi yake kikamirifu ya kukusanya kodi kupitia TRA. Na hii itatuepusha kukimbizana na watu wa hali ya chini kwa kuweka tozo zisizo na msingi!
Watuwekee namba za kuwataarifu japo kwa sms maana mimi kila duka nikinunua nisipodai risiti hawanipi nikidai wanatoa chap tena huku wanaogopa kuhisi labda ni Afisa wa TRA..Kama mtazania mzalendo ungetoa taarifa polisi haraka au TRA task force chap...hapo ungekuwa umesaidia...
Ni vile watu hawaelewi binafsi siko tayari kumnugaisha mfanyabiashara kwa jasho langu bora hiyo fedha iende Serikalini na hata wakisema inaibiwa hawawezi iba yote..HII HOJA IMEKUFICHUA, HUNA UCHUNGU NA NCHI YAKO UNACHOTAKA NI WACHACHE WABEBE MZIGO WA KODI KWA KIGEZO CHA BIASHARA.
Yaani unaona si sawa kulipa tozo ila unasikia uchungu mfanyabiashara akitaka kuuza bidhaa yake bila VAT.
Anayelipa VAT ni raia, huyo huyo aliyeambiwa lipa tozo....mfanyabiashara anaisaidia TRA kuikusanya bure tena akichelewa kutoa taarifa anapigwa faini.
Wanunuzi wengi hawataki kulipa VAT hivyo mfanyabiashara anabaki na chaguzi mbili, asiuze bidhaa au aiuze bila VAT asikupe risiti. Unadhani atachagua nn? STUPIDO MNYONGE
Unajua mfanyabiashara kalipa kodi ngapi mpaka hilo duka lipo hapo?
Umevuka lengo na nani ? Toa upumbavu wako hapa,wamekusanya kwa 94%Wewe utakuwa kapumbavu! Mbona tumevuka lengo la makusanyo kwa mwezi September? Wacha tu watu waendelee hivyo hivyo!
Wamekusikia bwashee!
WEWE NI MUUONGOJuma mosi nilienda kariakoo kununua bidhaa kwenye duka linalomirikiwa na mtu mwenye asili ya kichina mara baada ya kufika muuzaji akamiambia yafatayo
▪︎Kitu unachotaka kununua ni cha laki na hamsini ila bila risiti laki na thelathini elfu
▪︎Na ukitaka bila risiti kabisa ni laki na ishirini elfu
Wakati niko pale akaja mtu anachukua pisi kama 20 za hiyo bidhaa yule dada akaniambia kaka unamuona huyu pamoja na kwamba anachukua pisi ishirini tunamwandikia risiti ya laki tano ya kutembea nayo iwapo akikutana na TRA isiwe usumbufu kwake!.
▪︎ Nilijiuliza sana kwa jinsi yule dada wa kichina anavyokuwa akiprint risiti za uongo mbele yetu watanzania na je ingekuwa mtanzania yuko huko kwao akifanya hivo ingekuwaje?
OMBI
•Naomba sana serkali iendelee kutoa elimu kwa wananchi kuhusu umuhimu wa kulipa kodi ikiwa ni pamoja na kuomba risiti na hii itasaidia vijana wetu kukua na mtazamo huo wa kutoa kodi!
•serkali ijikite katika kuwafatilia wafanya biashara pasipo kuchoka maana ukwepaji wa kodi upo kwa kiasi kikubwa sana saizi maana anapouza bila kutoa risiti anaiibia serkali
•Serkali itambue bila kuwazoesha watanzania hususani wafanya biashara kutoa kodi kwa uaminifu itapoteza mapato mengi sana!
•Serkali itambue kama mwananchi wa kawaida a anakatwa tozo hivo hivo na mfanya biashara kama ilivo kwa mfanya kazi ni lazima alipe kodi ya serkali!
•Serkali itambue pia kwenye suala la kodi hakuna urafiki hapo kuna uwajibikaji kwa kila upande bila kupepesa macho.
•Serkali iachane na kujipendekeza kwa watu ili kuomekana kuwa ni serkali nzuri ndio maana Mwalimu Nyerere alisema serkali fisadi haikusanyi kodi!
•RAIS SAMIA kwenye hili uwe mkali na mwelevu tofauti na hapo mambo yatakuwa mabaya sana hapo baadae yaani watu hawaombi wala kutoa risiti!
HITIMISHO
Watanzania tuweni wazalendo pamoja na serkali kufanya kazi yake kikamirifu ya kukusanya kodi kupitia TRA. Na hii itatuepusha kukimbizana na watu wa hali ya chini kwa kuweka tozo zisizo na msingi!
Polisi waje wachukue chao mapema ama hizo task force ni full Magumashi na negotiationsKama mtazania mzalendo ungetoa taarifa polisi haraka au TRA task force chap...hapo ungekuwa umesaidia...
Ni kweli mkuu. Umeongea vizuri ila si wafanyabiashara wote ni wakepa kodi.Ni vile watu hawaelewi binafsi siko tayari kumnugaisha mfanyabiashara kwa jasho langu bora hiyo fedha iende Serikalini na hata wakisema inaibiwa hawawezi iba yote..
Ni suala la uelewa tuu,kodi nalipa Mimi mfanyabiashara ni njia ya kupitia,wao Kwa kuwa ni wakwepa kodi hawataki tudai risiti kwa sababu otaonyesha ukubwa wa biashara yao na hivyo Kumbe watabainika kuwa walikuwa wanakwepa kodi.
iNi kweli mimi naamini watanzania walishazoea kukwepa kodi ma ikitokea mtu anafatilia kodi kikamirifu watamuona ni adui yao! Lakini wakumbuke tunakoomba misaada hawana utani kwenye kodi lakini huku tumachekeana!
Mwanza inaongoza kutotoa risitiJuma mosi nilienda kariakoo kununua bidhaa kwenye duka linalomirikiwa na mtu mwenye asili ya kichina mara baada ya kufika muuzaji akamiambia yafatayo
▪︎Kitu unachotaka kununua ni cha laki na hamsini ila bila risiti laki na thelathini elfu
▪︎Na ukitaka bila risiti kabisa ni laki na ishirini elfu
Wakati niko pale akaja mtu anachukua pisi kama 20 za hiyo bidhaa yule dada akaniambia kaka unamuona huyu pamoja na kwamba anachukua pisi ishirini tunamwandikia risiti ya laki tano ya kutembea nayo iwapo akikutana na TRA isiwe usumbufu kwake!.
▪︎ Nilijiuliza sana kwa jinsi yule dada wa kichina anavyokuwa akiprint risiti za uongo mbele yetu watanzania na je ingekuwa mtanzania yuko huko kwao akifanya hivo ingekuwaje?
OMBI
•Naomba sana serkali iendelee kutoa elimu kwa wananchi kuhusu umuhimu wa kulipa kodi ikiwa ni pamoja na kuomba risiti na hii itasaidia vijana wetu kukua na mtazamo huo wa kutoa kodi!
•serkali ijikite katika kuwafatilia wafanya biashara pasipo kuchoka maana ukwepaji wa kodi upo kwa kiasi kikubwa sana saizi maana anapouza bila kutoa risiti anaiibia serkali
•Serkali itambue bila kuwazoesha watanzania hususani wafanya biashara kutoa kodi kwa uaminifu itapoteza mapato mengi sana!
•Serkali itambue kama mwananchi wa kawaida a anakatwa tozo hivo hivo na mfanya biashara kama ilivo kwa mfanya kazi ni lazima alipe kodi ya serkali!
•Serkali itambue pia kwenye suala la kodi hakuna urafiki hapo kuna uwajibikaji kwa kila upande bila kupepesa macho.
•Serkali iachane na kujipendekeza kwa watu ili kuomekana kuwa ni serkali nzuri ndio maana Mwalimu Nyerere alisema serkali fisadi haikusanyi kodi!
•RAIS SAMIA kwenye hili uwe mkali na mwelevu tofauti na hapo mambo yatakuwa mabaya sana hapo baadae yaani watu hawaombi wala kutoa risiti!
HITIMISHO
Watanzania tuweni wazalendo pamoja na serkali kufanya kazi yake kikamirifu ya kukusanya kodi kupitia TRA. Na hii itatuepusha kukimbizana na watu wa hali ya chini kwa kuweka tozo zisizo na msingi!
Huo mchezo kawaida K'koo.Juma mosi nilienda kariakoo kununua bidhaa kwenye duka linalomirikiwa na mtu mwenye asili ya kichina mara baada ya kufika muuzaji akamiambia yafatayo