Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,034
- 6,913
Pengine kuja kwao iliitangaza nchi tukapata watalii ambao ndio wangeleta pesa za kumlipa huyo mwalimu kijijini.Unajua Kuna mwaka Brazil ilikuja kucheza na Taifa stars ,tukalipa 3Bn Tzs money ama hulijui ili kumfurahisha baba.
Yeye uzalendo gani alitumia hapo.
Wakati Kuna headteacher huko anaishi kwa nyumba mbavu za mbwa ama ya matope afya yako iko matatani.
Unadhani atakuwa na munkari na kazi yake kweli jamani ya kutengeneza vijana kwa vijana wetu
.
Lini ilikuwa kiwango cha chini? Wewe hapo hufanyi selfishness kwa majirani zako?Utasikia Kodi yako Posh Queen akapandishwa ndege akaenda bungeni Kama balozi wa utalii Mara amelala Gold Crest ya mwanza room kigogo anaijua.
Ushenzi mwingine Kodi yetu haitumiki kiusahihi watu wanalia Bata tu.
Yaani Ile selfish saivi iko kiwango Cha juu Sana yaani acha tu
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Mfumo ndiyo huu umeshamvuruga hawezi kuelewa tena[emoji1787][emoji1787] tutaelewana tu mkuu, taratibu taratibu hivyo hivyo. Nchi ipo tofauti sana sasa hivi hata ukigoma kuelewa mfumo utakuelewesha tu.
Hahahaha[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Mfumo ndiyo huu umeshamvuruga hawezi kuelewa tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Wee hizi task force si zimepigwa marufuku hizi na mama?Kama mtazania mzalendo ungetoa taarifa polisi haraka au TRA task force chap...hapo ungekuwa umesaidia...
Naunga mkono hizi takwimu zinatia shaka mkuu... Kwanza wangetakiwa watupe monthly, quarterly and yearly targets mapema ili sasa waandishi wawe wa nafuatilia kama wamefikia target au laa.Mimi sipo kubishana kuhusu makusanyo kwa mwezi! Maana hata SIASA inaweza kufanya kazi! Kama wanakusanya kiasi hicho tozo za nini? Mara uchumi umeshuka? Hao ni waongo tunataka wakusanye kodi waachane na tozo zisizo na kichwa wala miguu!
Juma mosi nilienda kariakoo kununua bidhaa kwenye duka linalomirikiwa na mtu mwenye asili ya kichina mara baada ya kufika muuzaji akamiambia yafatayo
▪︎Kitu unachotaka kununua ni cha laki na hamsini ila bila risiti laki na thelathini elfu
▪︎Na ukitaka bila risiti kabisa ni laki na ishirini elfu
Wakati niko pale akaja mtu anachukua pisi kama 20 za hiyo bidhaa yule dada akaniambia kaka unamuona huyu pamoja na kwamba anachukua pisi ishirini tunamwandikia risiti ya laki tano ya kutembea nayo iwapo akikutana na TRA isiwe usumbufu kwake!.
▪︎ Nilijiuliza sana kwa jinsi yule dada wa kichina anavyokuwa akiprint risiti za uongo mbele yetu watanzania na je ingekuwa mtanzania yuko huko kwao akifanya hivo ingekuwaje?
OMBI
•Naomba sana serkali iendelee kutoa elimu kwa wananchi kuhusu umuhimu wa kulipa kodi ikiwa ni pamoja na kuomba risiti na hii itasaidia vijana wetu kukua na mtazamo huo wa kutoa kodi!
•serkali ijikite katika kuwafatilia wafanya biashara pasipo kuchoka maana ukwepaji wa kodi upo kwa kiasi kikubwa sana saizi maana anapouza bila kutoa risiti anaiibia serkali
•Serkali itambue bila kuwazoesha watanzania hususani wafanya biashara kutoa kodi kwa uaminifu itapoteza mapato mengi sana!
•Serkali itambue kama mwananchi wa kawaida a anakatwa tozo hivo hivo na mfanya biashara kama ilivo kwa mfanya kazi ni lazima alipe kodi ya serkali!
•Serkali itambue pia kwenye suala la kodi hakuna urafiki hapo kuna uwajibikaji kwa kila upande bila kupepesa macho.
•Serkali iachane na kujipendekeza kwa watu ili kuomekana kuwa ni serkali nzuri ndio maana Mwalimu Nyerere alisema serkali fisadi haikusanyi kodi!
•RAIS SAMIA kwenye hili uwe mkali na mwelevu tofauti na hapo mambo yatakuwa mabaya sana hapo baadae yaani watu hawaombi wala kutoa risiti!
HITIMISHO
Watanzania tuweni wazalendo pamoja na serkali kufanya kazi yake kikamirifu ya kukusanya kodi kupitia TRA. Na hii itatuepusha kukimbizana na watu wa hali ya chini kwa kuweka tozo zisizo na msingi!
Watu tunalipa Kodi lkn hatuoni maendeleo,acha wakwepe tuNi kweli mimi naamini watanzania walishazoea kukwepa kodi ma ikitokea mtu anafatilia kodi kikamirifu watamuona ni adui yao! Lakini wakumbuke tunakoomba misaada hawana utani kwenye kodi lakini huku tumachekeana!
Namba 1 siyo kweli sababu hata biashara binafsi ambazo siyo kampuni wapo wanaolipa kodi kutokana na faida. Angalia Kodi na Ushuru mbalimbali utaelewa nini nazungumzia.Kingine kodi haitozwi kulingana na aina ya biashara bali inatokana na mapato yako.Kwa mtazamo wangu kuna matatizo ya msingi katika mifumo yetu ya kodi na sekta binafsi kiujumla yanayopelekea Hali hii ya kukwepa kutoa risiti.
1. Viwango vikubwa vya Kodi visivyoakisi uhalisia wa faida katika biashara. Kwa biashara ambazo sio kampuni ambazo ndio majority kwa hapa Tz, TRA wanakadiria kodi kwa kuangalia mauzo tu. Hawajali nature ya biashara. Iweje mtu anayeuza hardware akakadiriwa sawa sawa na mfanyabiashara wa nguo wakati profit margin zao hazifanani? Mfano Mfuko wa Cement unaouzwa 15000 utakuta faida yake haizidi 700. Ila Jeans la 15,000 faida inaweza kuwa 3000. Hivyo sio sahihi kuwatoza kiwango sawa cha kodi kisa mauzo ni 15,000. Hili linaweza kupelekea wenye biashara zenye faida ndogo kukwepa kutoa risiti. Maana anaweza kujikuta faida yote aliyopata inakuja kumezwa na kodi.
2. Sekta binafsi isiyo rasmi kwa kiwango kikubwa. Hili linaathiri sana upande wa VAT. Unakuta kwenye Supply chain yupo mtu/watu wenye kuuza bidhaa au kutoa huduma ambao sio VAT registered au hawako kabisa kwenye mfumo rasmi. Matokeo yake muuzaji wa mwisho hana uwezo wa ku-claim VAT yoyote kwenye huduma hizo za katikati na hii kupelekea sehemu ya faida yake kwenda TRA. Kwa style hio wengine ndo maana huamua kutotoa risiti.
So the bottom line is kunahitajika a thorough review of our Tax system. Naamini watu wengi wako tayari kuchangia maendeleo kupitia kodi. Ila ni muhimu upatikane mfumo sahihi wa ukadiriaji wa kodi.
Ni asilimia ngapi ya hao binafsi wanaolipa kwa kutumia faida? Most likely hao ni wale ambao ni VAT registered ambao sio majority. Na pia unaongelea kile kile nilichosemea mimi. Mimi nimetumia neno mauzo na wewe umetumia neno mapato which practically means the same thing. Na ndio maana nikatoa mfano wa bidhaa mbili tofauti zenye mapato sawa ila faida tofauti. Ila TRA wao watakadiria kutokana na mapato bila kujali kuwa faida hazilininganiNamba 1 siyo kweli sababu hata biashara binafsi ambazo siyo kampuni wapo wanaolipa kodi kutokana na faida. Angalia Kodi na Ushuru mbalimbali utaelewa nini nazungumzia.Kingine kodi haitozwi kulingana na aina ya biashara bali inatokana na mapato yako.
Namba 2 kama umenunua bidhaa kwa mtu ambaye hayupo kwenye mfumo rasmi au hajasajiliwa na VAT sioni sababu ya kudai marejesho kwani hujalipa VAT isipokuwa kama nawe umesajiliwa VAT ukiuza kuna asilimia 18% utakuwa umeiongeza ambayo ndiyo utaiwasilisha TRA.Kumbuka siyo faida yako bali wewe ni wakala tu wa kukusanya hiyo 18% ambayo utakuwa umeiongeza kwenye bidhaa au huduma.
Namba 1 siyo kweli sababu hata biashara binafsi ambazo siyo kampuni wapo wanaolipa kodi kutokana na faida. Angalia Kodi na Ushuru mbalimbali utaelewa nini nazungumzia.Kingine kodi haitozwi kulingana na aina ya biashara bali inatokana na mapato yako.
Namba 2 kama umenunua bidhaa kwa mtu ambaye hayupo kwenye mfumo rasmi au hajasajiliwa na VAT sioni sababu ya kudai marejesho kwani hujalipa VAT isipokuwa kama nawe umesajiliwa VAT ukiuza kuna asilimia 18% utakuwa umeiongeza ambayo ndiyo utaiwasilisha TRA.Kumbuka siyo faida yako bali wewe ni wakala tu wa kukusanya hiyo 18% ambayo utakuwa umeiongeza kwenye bidhaa au hudum
Shida ni kwamba you are being theoretical rather than being pragmatic. . Hayo yote na mimi ninayafahamu. Vitu on the ground haviko simple kama unavyoongelea hapo.Namba 1 siyo kweli sababu hata biashara binafsi ambazo siyo kampuni wapo wanaolipa kodi kutokana na faida. Angalia Kodi na Ushuru mbalimbali utaelewa nini nazungumzia.Kingine kodi haitozwi kulingana na aina ya biashara bali inatokana na mapato yako.
Namba 2 kama umenunua bidhaa kwa mtu ambaye hayupo kwenye mfumo rasmi au hajasajiliwa na VAT sioni sababu ya kudai marejesho kwani hujalipa VAT isipokuwa kama nawe umesajiliwa VAT ukiuza kuna asilimia 18% utakuwa umeiongeza ambayo ndiyo utaiwasilisha TRA.Kumbuka siyo faida yako bali wewe ni wakala tu wa kukusanya hiyo 18% ambayo utakuwa umeiongeza kwenye bidhaa au huduma.
Mjinga kweli weweNamba 1 siyo kweli sababu hata biashara binafsi ambazo siyo kampuni wapo wanaolipa kodi kutokana na faida. Angalia Kodi na Ushuru mbalimbali utaelewa nini nazungumzia.Kingine kodi haitozwi kulingana na aina ya biashara bali inatokana na mapato yako.
Namba 2 kama umenunua bidhaa kwa mtu ambaye hayupo kwenye mfumo rasmi au hajasajiliwa na VAT sioni sababu ya kudai marejesho kwani hujalipa VAT isipokuwa kama nawe umesajiliwa VAT ukiuza kuna asilimia 18% utakuwa umeiongeza ambayo ndiyo utaiwasilisha TRA.Kumbuka siyo faida yako bali wewe ni wakala tu wa kukusanya hiyo 18% ambayo utakuwa umeiongeza kwenye bidhaa au huduma.
mjinga wewe ambaye unashindwa hata leta hoja unaishia tukana. nenda kasome ustaarabikeMjinga kweli wewe