Kufanya niniKupitia taarifa yao waliyoweka kwenye mitandao ya kijamii, Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) imedai kutohusika kwa namna yoyote katika ufungaji wa Bar ya 'The Cask'
Imewataka wahusika na umma kwenda kwenye mamlaka husika kuhusu jambo hilo.