Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Walio ndani ya serikali ndio wanazo taarifa sahihi ya nini kinaendelea, vinginevyo ni hearsay tu za mitandaoni kama kawaida ya watanzania.Sasa si ndio nikasema tuachana na masuala ya kukopa, tulioe kwanza hii ambayo tumeshaingizwa mkenge, wewe ukasema tena eti tutaachaje kukopa kwa ajili ya miradi ya kimkakati, ukasema sina data, ndio nimekupa hizo data kwamba trillion 8 tulizokopa hazikuwa za miradi ya kimkakakati.., legeza ubongo kidogo
Pesa nyingi zimekopwa kwa muda mfupi sana, trillion 10 ndani ya miezi 9, na hakuna hata senti imeenda kwenye miradi ya kimkakati, tena bila idhini ya bunge, hili lazima liondoke na mtu!Kazi kubwa inafanyika nchi nzima na pesa inapokwenda kote inajulikana. Mnaanzisha majungu baada ya kifo cha JPM.
Paka akitoka panya hutawala, ndio mnachokifanya nyinyi kwa sasa.
Data zimewekwa ni kiasi gani kimekopwa ndani ya miezi 9 na wapi zilipoelekezwa, sasa sijui unataka uambiwe nini tenaWalio ndani ya serikali ndio wanazo taarifa sahihi ya nini kinaendelea, vinginevyo ni hearsay tu za mitandaoni kama kawaida ya watanzania.
Ndugai kaomba radhi hadharani. Ni kama mnapoteza muda wenu. Fanyeni masuala mengine yatakayoyasaidia maisha yenu.Pesa nyingi zimekopwa kwa muda mfupi sana, trillion 10 ndani ya miezi 9, na hakuna hata senti imeenda kwenye miradi ya kimkakati, tena bila idhini ya bunge, hili lazima liondoke na mtu!
Tumekopa Trillioni 8Sasa si ndio nikasema tuachana na masuala ya kukopa, tulioe kwanza hii ambayo tumeshaingizwa mkenge, wewe ukasema tena eti tutaachaje kukopa kwa ajili ya miradi ya kimkakati, ukasema sina data, ndio nimekupa hizo data kwamba trillion 8 tulizokopa hazikuwa za miradi ya kimkakakati.., legeza ubongo kidogo
UnajicontradictHow do you define illiteracy?! Ni Nani amesema data zisiwepo?! Huelewi hata interpretation ya maandiko ya wenzio? Who is illiterate then? Kumwambia mtu atoe ufafanuzi in a simple language Kuna ubaya gani?!
Niambie hayo matokeo yanayoonekanaKwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa na Kamishna Mkuu wa TRA, mamlaka hiyo imevunja Rekodi ya kukusanya Kodi kiasi cha Shilingi Trilioni 2.51 kwa Mwezi Desemba 2021 ikiwa ni kiwango cha juu kabisa kukusanywa katika Mwezi tangia kuanzishwa kwake. Katika kipindi cha Desemba 2020, TRA ilikusanya pungufu ya kiasi hicho kwa asilimia 20. Aidha Makusanyo kwa miezi 6 iliyopita ni Shililingi Trilioni 11.11 ikilinganishwa na Trilioni 9.24 zilizokusanywa kwa kipindi kama hicho mwaka 2020.
Pongezi kwa Mhe. Samia, pongezi kwa Kamishna Kidata kwa kutokusanya kodi ya dhulma lakini matokeo yanaonekana. Watanzania lipeni Kodi kwa hiari mjenge nchi yenu.
Kazi Iendelee.
cc: Suzy Elias
Wanakusanya 20% ya wafanyabiashara ama wanakusanya mitaji yao ?Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya TZS trilioni 2.51 Desemba 2021, kikiwa ni kiwango cha juu zaidi kuwahi kufikiwa tangu kuanzishwa mamlaka hiyo mwaka 1996.
Aidha, Julai - Desemba 2021, TRA imekusanya TZS trilioni 11.11, sawa 98% ya lengo la TZS trilioni 11.302.
View attachment 2065326View attachment 2065327
Hayo Makusanyo makubwa sio matokeo au?Niambie hayo matokeo yanayoonekana
Wee unaona 200m kwa mwaka ni kubwa maana hadi muuza chips anaweza kuifikia hiyo figaBado ni ndogo sana.
Kodi ikikusanywa kiufasaha bila janja janja na rushwa, kwa mwezi trillion 5 zinakusanyika.
Kuna ukwepaji mkubwa sana wa kodi na janja janja.
Unakuta mtu ana turnover ya 200m annually ila TRA mashine inasoma 45m au 30m. Na hii ni biashara moja sasa piga mahesabu maelfu ya biashara yanayofanya ujanja.
Hayo mambo ya EFd sijui Kama yana umuhumi wowote cha msingi mtu alipe kodi anyoimudu .unawsza kuwa na EFD na mauzo yako yasi8nekane makubwa maana EFd haingialii gharam za uendeshaji wa biasharaSijui hapa govt imeishiwa mbinu au vipi..Watu wanalaumu Kukopa huku Kodi hawalipi..
Serikali imeshindwa kuunda kikosi Kazi kweli Ili kuwabana watu wote wanaonunua bidhaa bila risiti? Polisi wapo,TRA wapo na watendaji wapo sasa sijui tatizo ni nini..
Hii nchi watu hawalipi Kodi, yaani kuna maduka ya madawa nayafahamu ya jumla wanauza balaa lakini waliacha kutoa risiti kitambo ukiomba hadi wanakushangaa mara mbili mbili..
Au TRA wekeni mawasiliano rahisi Ili tuwafahamishe.
Sijasema kubwa au ndogo bro, huo ni mfano tu.Wee unaona 200m kwa mwaka ni kubwa maana hadi muuza chips anaweza kuifikia hiyo figa
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hii kila mtu lazima alipeNdiyo maana wakati ni mwingine ni kama unakubaliana na Mwigulu na mamake kukomaa na tozo ya miamala. Watanzania hawapendi kulipa kodi ila kwa tozo za simu wanalipa wapende wasipende.
Ni trilioni 10 za mkopo ukiongeza 11.11 za kodi unapata trilioni 21.11Sasa hizo Trillion 8 tulizokopa ni za nini?
Nikuulize jambo moja,Hayo mambo ya EFd sijui Kama yana umuhumi wowote cha msingi mtu alipe kodi anyoimudu .unawsza kuwa na EFD na mauzo yako yasi8nekane makubwa maana EFd haingialii gharam za uendeshaji wa biashara
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumekopa Trillioni 8
Samia huyu huyu??
Naona umeamua kutunyeshwa chai ila imepoa sana
Mama la Mama anawapashaaa yuko liveTena jumla ni trillion 10 ukijumlisha na zile 2 za Covid19