TANZIA TRA inatangaza kifo cha mtumishi wao, Amani Simbayao kilichotokea leo 06/12/2024

Wale vijana wa Mbezi inaashiria polisi wanafanya nao kazi hasa kituo cha Gogoni. Sema ili kuua soo ilibidi itengenezwe movie na jeshi hilo hilo la polisi ili kuwavuruga raia akili. Sema tulio smart tunaelewa ile ilikuwa sineema.
 
Poleni sana !!!
" BWANA ALITOA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE NA NDUGU ,JAMAA, NA MAJIRANI WAULAZE MWILI WA MAREHEMU MAHALI PEMA NA MOLA AIPOKEE ROHO YAKE NA KUIWEKA PAHALI PATAKATIFU ;AAMENI!"
 
Wale vijana wa Mbezi inaashiria polisi wanafanya nao kazi hasa kituo cha Gogoni. Sema ili kuua soo ilibidi itengenezwe movie na jeshi hilo hilo la polisi ili kuwavuruga raia akili. Sema tulio smart tunaelewa ile ilikuwa sineema.
Ndiyo maana walishindwa kutaja sababu za utekaji ...utekaji wowote unapo tokea kitu cha muhimu kuelezwa na polisi ni sababu za utekaji ....wametoa report bila kutaja sababu ni akili waliyo tumia kufanikisha hivyo drama kwa sasa wanaweza wakasema jamaa alikuwa anadaiwa au wakasingizia chochote hata wakasingizia mikopo ya mitandaoni kuwa kama ilivyo tekea kwenye kisa cha mikopo mitandaoni hadi mtu kufa baada ya kupigwa na mabaunsa wa kudai mikopo
 
Apumzike kwa Amani bwana mdogo ukosefu wa Mamlaka kufanya kazi inavyotakiwa inapelekea Wananchi kujichukulia sheria mkononi haingii akilini unasikia mtu katekwa Stand ya Magufuri harafu baadae yanakuja matamko kama ya kwenye movie nadhani watajifunza sasa hivi ingawaje fundisho limeenda kwa mtu asie sahihi..
 
Hao raia wenye hasira Kali walikua wapi wakati wa mzee Kibao, big Tarimo, Nondo nk waliotekwa kweupe kabisa huku wakiomba msaada? Wanaua watu wanaojua fika sio watekaji huu ni upumbavu wa mitanganyika.
Shida hata waliomteka mzee kibao walikuja na cruiser na wakasema ni askari. Watekaji wote wanadai ni vyombo vya serikali.
Sasa raia wataamini vipi mtu anatekwa au anachukuliwa na chombo cha serikali.
Shida ni kwamba serikali imekuwa ikichukulia haya mambo poa.
Sasa hii ndiyo effect yake.
Polisi wenyewe hawaaminiki mara kadhaa wanamchuakua mtu baadaye wanakana familia inahangaika kumtafta wao wanakana wanakuja kukubali baadaye sana. Refer tukio la yule kijana wa temeke. Familia imezunguka over mwezi polisi wanakana kuwa hawako naye
 
Walijuaje kuwa tra? Mwenye bmw unaambiwa alipiga kelele kuwa anatekwa.
 
Ni njaa zao tu binafsi zimewaponza hao TRA staff. Na asilimia kubwa ya staff wa TRA ni majambazi mezani mwao.
 
Ni njaa zao tu binafsi zimewaponza hao TRA staff. Na asilimia kubwa ya staff wa TRA ni majambazi mezani mwao.
Ni kweli kabisa%kubwa ni majambazi na mafisadi.kuna mmoja mfanyakazi wa TRA alikutwa na bilioni saba nyumbani kwake ameziweka kwenye mifuko ya sandarusi na ilibainika za magendo lakini hakuna hatua yeyote aliyochukuliwa nayo.
 
Katika hili tukio
-Wananchi wa Tegeta Ndevu wanapaswa kupongezwa kwa kuweza kuchukua stahiki mara moja ya kuweza kujihami dhidi ya magenge ya watekaji na watu wasiofahamika.

-Pole nyingi ziende kwa ndugu, jamaa na marafiki waliopoteza mpendwa wao.

-Serikali na vyombo vya dola walaumiwe mnoo kwa kupandikiza mbegu ya utekaji ambayo sasa imezaa matunda.

-Maafisa wa TRA waliohusika wasimamishwe kazi na kushtakiwa kwa kufanya kazi za kiuhalifu na kushindwa kufuata utaratibu.
 
Kosa la narehemu ni nini hapo?
System nzima ya serikali kufanya kazi bila kufuata taratibu.marehemu na wenzake wanafahanu kuna viyendo vya kutekana ,tena kwa kutumia magari ya serikali na kwa uninga wao bila msaada wa polisi wenye uniform wanafanya ambush inayofanana na mbinu wanazotumia wasiojulikana,hiyo kazi wangeshirikiana na polisi kwa usalama wao.serikali ,TRA,polisi wote ni vilaza
 
Serekali inatengeneza jamii katili sana kwa uchu wa madaraka
 
Kila mtu ni Kambale siku hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…