TANZIA TRA inatangaza kifo cha mtumishi wao, Amani Simbayao kilichotokea leo 06/12/2024

TANZIA TRA inatangaza kifo cha mtumishi wao, Amani Simbayao kilichotokea leo 06/12/2024

Nashanga watanzania wanapo pata bahati ya kuwaua hao watu wanajishauri ....hao ni kupiga na kuwalipua moto tu hakuna mazungumzo nao wala mahojiana nao .....kazi safi sana imefanya na hao raia ....jana nilipita sehemu nikasikia polisi anaongea na raia kuwa wanaweza kuja kumkamata huyo muhalifu tatizo ni watu hivyo huyo raia afanye jumuiko na viongozi wa mtaa ili polisi wasije kuingia matatani kwa kuisiwa watekaji ...hii inaonyesha huyo polisi aliogopa kwenda kumkamata mtu kutokana ma serikalini ya samia kuwa na magenge ya kialifu yanayo ua watu ...wananchi wamesha jilizisha kuwa ni watu wa serikali....tazama wale jamaa wanaodaiwa mabondia waliokamatwa walivyo pewa dhamana kirahisi sana....
Wale vijana wa Mbezi inaashiria polisi wanafanya nao kazi hasa kituo cha Gogoni. Sema ili kuua soo ilibidi itengenezwe movie na jeshi hilo hilo la polisi ili kuwavuruga raia akili. Sema tulio smart tunaelewa ile ilikuwa sineema.
 
Poleni sana !!!
" BWANA ALITOA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE NA NDUGU ,JAMAA, NA MAJIRANI WAULAZE MWILI WA MAREHEMU MAHALI PEMA NA MOLA AIPOKEE ROHO YAKE NA KUIWEKA PAHALI PATAKATIFU ;AAMENI!"
 
Wale vijana wa Mbezi inaashiria polisi wanafanya nao kazi hasa kituo cha Gogoni. Sema ili kuua soo ilibidi itengenezwe movie na jeshi hilo hilo la polisi ili kuwavuruga raia akili. Sema tulio smart tunaelewa ile ilikuwa sineema.
Ndiyo maana walishindwa kutaja sababu za utekaji ...utekaji wowote unapo tokea kitu cha muhimu kuelezwa na polisi ni sababu za utekaji ....wametoa report bila kutaja sababu ni akili waliyo tumia kufanikisha hivyo drama kwa sasa wanaweza wakasema jamaa alikuwa anadaiwa au wakasingizia chochote hata wakasingizia mikopo ya mitandaoni kuwa kama ilivyo tekea kwenye kisa cha mikopo mitandaoni hadi mtu kufa baada ya kupigwa na mabaunsa wa kudai mikopo
 
Apumzike kwa Amani bwana mdogo ukosefu wa Mamlaka kufanya kazi inavyotakiwa inapelekea Wananchi kujichukulia sheria mkononi haingii akilini unasikia mtu katekwa Stand ya Magufuri harafu baadae yanakuja matamko kama ya kwenye movie nadhani watajifunza sasa hivi ingawaje fundisho limeenda kwa mtu asie sahihi..
 
Hao raia wenye hasira Kali walikua wapi wakati wa mzee Kibao, big Tarimo, Nondo nk waliotekwa kweupe kabisa huku wakiomba msaada? Wanaua watu wanaojua fika sio watekaji huu ni upumbavu wa mitanganyika.
Shida hata waliomteka mzee kibao walikuja na cruiser na wakasema ni askari. Watekaji wote wanadai ni vyombo vya serikali.
Sasa raia wataamini vipi mtu anatekwa au anachukuliwa na chombo cha serikali.
Shida ni kwamba serikali imekuwa ikichukulia haya mambo poa.
Sasa hii ndiyo effect yake.
Polisi wenyewe hawaaminiki mara kadhaa wanamchuakua mtu baadaye wanakana familia inahangaika kumtafta wao wanakana wanakuja kukubali baadaye sana. Refer tukio la yule kijana wa temeke. Familia imezunguka over mwezi polisi wanakana kuwa hawako naye
 
Big Tarimo alisaidiwa na nani? Nondo juzi katekwa stendi ya Magufuli huku anaomba msaada nani alimsaidia? Mitanganyika ina pick and choose battle za kupambana. Inaua wanaojua hawajiwezi. Hapo waliojua fika hao ni tra na wameona wanataka kamata BMW mitanganyika ikataka sifa za bure.
Walijuaje kuwa tra? Mwenye bmw unaambiwa alipiga kelele kuwa anatekwa.
 
TRA Tanzania


Toeni ufafanuzi kuhusu Vijana wenu kufuatilia Gari Usiku.

Pia Mtuonyeshe kwenye SOP zenu mahali panasema Mvizie mtu ili kumkamata usiku.

Kwenye Kesi Ya Abdul Nondo tumepigiwa picha ya gari kama lenu likiwa linabadiliashwa namba plate.


Tunaomba picha ya majeruhi / wahanga wa Kipigo Cha Ndevu tuone kama walikuwa na sare za TRA wakati wanashughulikiwa na wananchi wenye hasira kali dhidi ya utekaji.
Ni njaa zao tu binafsi zimewaponza hao TRA staff. Na asilimia kubwa ya staff wa TRA ni majambazi mezani mwao.
 
Ni njaa zao tu binafsi zimewaponza hao TRA staff. Na asilimia kubwa ya staff wa TRA ni majambazi mezani mwao.
Ni kweli kabisa%kubwa ni majambazi na mafisadi.kuna mmoja mfanyakazi wa TRA alikutwa na bilioni saba nyumbani kwake ameziweka kwenye mifuko ya sandarusi na ilibainika za magendo lakini hakuna hatua yeyote aliyochukuliwa nayo.
 
Katika hili tukio
-Wananchi wa Tegeta Ndevu wanapaswa kupongezwa kwa kuweza kuchukua stahiki mara moja ya kuweza kujihami dhidi ya magenge ya watekaji na watu wasiofahamika.

-Pole nyingi ziende kwa ndugu, jamaa na marafiki waliopoteza mpendwa wao.

-Serikali na vyombo vya dola walaumiwe mnoo kwa kupandikiza mbegu ya utekaji ambayo sasa imezaa matunda.

-Maafisa wa TRA waliohusika wasimamishwe kazi na kushtakiwa kwa kufanya kazi za kiuhalifu na kushindwa kufuata utaratibu.
 
Kosa la narehemu ni nini hapo?
System nzima ya serikali kufanya kazi bila kufuata taratibu.marehemu na wenzake wanafahanu kuna viyendo vya kutekana ,tena kwa kutumia magari ya serikali na kwa uninga wao bila msaada wa polisi wenye uniform wanafanya ambush inayofanana na mbinu wanazotumia wasiojulikana,hiyo kazi wangeshirikiana na polisi kwa usalama wao.serikali ,TRA,polisi wote ni vilaza
 
View attachment 3170823
=============

Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Watumishi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inasikitika na kutoa pole kwa familia na ndugu na jamaa kutokana na kifo cha mtumishi wetu wa TRA, Bw. AMANI Kamguna Simbayao kilichotokea leo mchana wa tarehe 06 Desemba 2024 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alikolazwa baada ya tukio la shambolic akiwa katika majikumu yake ya kikazi kwa maslahi ya Taifa katika eneo la Tegeta kwa Ndevu jijini Dar Es Salaam. Tunatarajia wahusika wote watafikishwa kwenye vyombo vya sheria. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
Serekali inatengeneza jamii katili sana kwa uchu wa madaraka
 
System nzima ya serikali kufanya kazi bila kufuata taratibu.marehemu na wenzake wanafahanu kuna viyendo vya kutekana ,tena kwa kutumia magari ya serikali na kwa uninga wao bila msaada wa polisi wenye uniform wanafanya ambush inayofanana na mbinu wanazotumia wasiojulikana,hiyo kazi wangeshirikiana na polisi kwa usalama wao.serikali ,TRA,polisi wote ni vilaza
Kila mtu ni Kambale siku hizi.
 
Back
Top Bottom