TANZIA TRA inatangaza kifo cha mtumishi wao, Amani Simbayao kilichotokea leo 06/12/2024


RIP ila mengine ni kujitakia
Kwani Polisi wa kufanya ukamataji hawakuwepo???
 
Kweli kabisa, wajifunze uhuni wa kutekana uishe bhana!! Mi nawapongeza wananchi waliochukua hatua ya kujilinda!! Maana jeshi la police limeshindwa kutulinda!! Wao wanalinda masilahi ya CCM.
 
Waje kuniteka nimekaa pale.

Kumuua mtu asiyehusika haisaidii lolote.
Ndiyo walewale, wangefanikiwa kumteka huyo mmiliki wa X6 ungesikia ni wasiojulikana. Muuaji kauawa so it's all well and good, people are bloody tired with these murderers.
Hiyo spin mliyokuja nayo eti ni TRA employee you know what? I don't buy that shit, go and tell it to the birds.
NB: Operation za TRA zinapaswa kuwa na escort ya polisi waliovaa sare rasmi, ndiyo sheria ilivyo otherwise ni yaleyale majambazi AKA wasiojulikana.
 

Serikali isikie vilio vya wananchi.
Hili sakata la utekaji halijashughulikiwa kikamilifu.
Hakuna kiongozi wa juu aliyekemea utekaji na mambo kama hayo.

Juzi wananchi wamejichukulia sheria mkononi, mimi siwalaumu.

Serikali isahihishe utendaji w vyombo vyake ili kuwanusuru wafanyakazi wake.
 
Hakuna hasara mwajiri au serikali inaweza ikapata kwa wafanyakazi wake kufa kivyovyote, nafasi zikibaki wazi zitatangazwa na zitagombewa kujazwa.
 
Wanawachomoaga hela tu
Hayo majukumu yanakuwa yao binafsi
Ila kwa tukio lile la tegeta TRA mnala kujifunza,sahv hali ishakuwa mbaya wananchi washavurugwaaaa

Ova
 
Mtu kavaa tisheti na kapelo unajiuliza alikuwa kitengo gani? Mbona hamjiongezi wazee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kuna wasio na akili wanaamini kabisa eti huyo dogo alikuwa muajiriwa wa TRA,mtekaji kauawa wanakuja na twists zao wanadhani watu wote hawana uwezo wa kuusoma mchezo na kuubaini. We ain't fools.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…