TANZIA TRA inatangaza kifo cha mtumishi wao, Amani Simbayao kilichotokea leo 06/12/2024

Za chini chini sio mtumishi wa tra,ni moja ya wasiojulikana bt tra wametumika kucover.
Hilo liko wazi.
Wakipigwa picha au kurekodiwa wanatoa ufafanuzi feki kama ule WA Bonge Kiluvya, Lusako na hiyo ya Kwa ndevu.😔
Kukiwa hakuna ushahidi wanaua kama Mzee Kibao au kupiga kimya kama ya Akina Nondo. Wala huhitaji D mbili kujua kuwa Serikali ndio inayoteka na kuua.😭😭😭
 
REST IN HELL
 
Wananchi wamechoka na huu utekaji. Ona sasa kijana wa watu ameuwawa bure kwasababu wa wapuuz wanaoteka raia. Rais inabidi achukue notes apa achukue hatua
Kwa Hali ilivyo SASA wala huwezi kujua kama na yeye alikuwa anaenda kuua ndio akauawa 🤷Serikali hii ilikofikia siko😔😔
 
Mkuu umenifanya nicheke sana
 

Je, Watu hao kweli walikuwa Ni Maafisa wa Forodha wa TRA au Undercovers wa Abduction Squad ambao wamekuwa infiltrated ndani ya TRA ili to conceal their real identities in their illicit activities??? Siyo kwamba hivyo vyeo vya huko TRA vinatumika tu kama 'Cover' ya hizo kazi zao za Siri?
Siyo kwamba hilo lilikuwa jaribio la utekaji lililofeli? Not a failed attempt of abduction?

They reap what they sow!

Walipaswa kusoma alama za nyakati!
 
Hili nalo neno....hapa ni mwendo wa jino kwa jino au sio
Hata Mungu alipowatoa wanaisraeli misri misiba ilikua mpaka kwenye mlango wa Farao ndiyo Farao akaruhusu watu waondoke. Mfano mzuri ni huu bahati mbaya tu ni tra. Lakini vilio vinasikika kila Kona na matamko sababu msiba upo milangoni kwao. Lakini misiba ya kwenye milango ya watekwaji tu utosikia matamko ya kulaani Wala maagizo siriaz ya wakamatwe haraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…