Umezisoma Sheria zote zinazofanyakazi Tanzania ukagundua hakuna Sheria inayowaruhusu kukamata.RIP kijana wetu.
Jukumu la kukamata raia sio la TRA, walitakiwa watumie polisi kufanya kazi zao. Wao kazi yao ni kukusanya kodi, sio kukamata wahalifu wakwepa kodi!
Tayari wamemkamata mmoja wa bodaboda.Boda boda wasionekane hapo kwa usalama wao
Hao walitaka rushwa tuTanzania wakitaka rushwa wanaangalia aina ya gari analoendesha mtoa rushwa wakiamua wanamtafutia kesi yeyote kwenye TIN..
Pole zao. Wafute misingi, kanuni za kazi zao.View attachment 3170823
=============
Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Watumishi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inasikitika na kutoa pole kwa familia na ndugu na jamaa kutokana na kifo cha mtumishi wetu wa TRA, Bw. AMANI Kamguna Simbayao kilichotokea leo mchana wa tarehe 06 Desemba 2024 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alikolazwa baada ya tukio la shambolic akiwa katika majikumu yake ya kikazi kwa maslahi ya Taifa katika eneo la Tegeta kwa Ndevu jijini Dar Es Salaam. Tunatarajia wahusika wote watafikishwa kwenye vyombo vya sheria. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
Of course ukienda hovyo unakuwa huna tofauti na mhalifu yoyote yule.Hao walitaka rushwa tu
Nyakati hizi wavamie watu
Kwa utaratibu wasijiende ovyo
Ovyo
Ova
Aliyemtuma na kumpa kazi ya kipolisi nae sheria imfuate.. TRA wanapitia depo gani kukmata raia wanaopigania kupata mlo wao kwa jasho watambue hilo kwanza pumbavuView attachment 3170823
=============
Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Watumishi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inasikitika na kutoa pole kwa familia na ndugu na jamaa kutokana na kifo cha mtumishi wetu wa TRA, Bw. AMANI Kamguna Simbayao kilichotokea leo mchana wa tarehe 06 Desemba 2024 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alikolazwa baada ya tukio la shambolic akiwa katika majikumu yake ya kikazi kwa maslahi ya Taifa katika eneo la Tegeta kwa Ndevu jijini Dar Es Salaam. Tunatarajia wahusika wote watafikishwa kwenye vyombo vya sheria. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
Yani kwa hii trend ya matukioKwa Hali ilivyo SASA wala huwezi kujua kama na yeye alikuwa anaenda kuua ndio akauawa 🤷Serikali hii ilikofikia siko😔😔
Ila huwa watu smart hawajiinui wanaangaliaga tu kwa mbaliKabisa washakalilishwa kuwa watanzania ni wajinga. Kumbe Kuna watu wanauwezo mkubwa sana kiakili ambao wamepewa na Mungu.
polisi wananusa sana mazingira waliyopo wakiona raia zinakuja km siafu hutawaona hao polisi. wanapotea chapu. jamaa hawafi kijinga wako kimkakati sana hawa wamba.🤣TRA already learn in a hard way.
sasa tunasubiri hawa polisi wanaokuja kichwakichwa
Aisee waliingia cha kike mkuu,Mbaya zaidi wamekula dress code za wasiojulikana. Maana kapero na tshirt ndio code hatari sana katika matukio ya ambush.
Sahihi kabisa na Usmart wetu tuliopewa na MUNGU Kama zawadi umesaidia nchi yetu pendwa kuwa na AMANI MPAKA SASA.Ila huwa watu smart hawajiinui wanaangaliaga tu kwa mbali
Raia wamechoka.Ni shambulio la raia wenye hasira kali aka mob justice.
Eeh kubembelezana kuna mwishoRaia wamechoka.