TANZIA TRA inatangaza kifo cha mtumishi wao, Amani Simbayao kilichotokea leo 06/12/2024

TANZIA TRA inatangaza kifo cha mtumishi wao, Amani Simbayao kilichotokea leo 06/12/2024

RIP kijana wetu.
Jukumu la kukamata raia sio la TRA, walitakiwa watumie polisi kufanya kazi zao. Wao kazi yao ni kukusanya kodi, sio kukamata wahalifu wakwepa kodi!
Umezisoma Sheria zote zinazofanyakazi Tanzania ukagundua hakuna Sheria inayowaruhusu kukamata.
Ujuaji ni mzigo.
 
Hii inamaanisha wananchi wamekosa ulinzi na wameanza kujilinda. Serikali hii no mbaya sana wananchi wakiwa unsecure watafanya mengi ya dizaini hii. Acheni kuteka teka watu na magari ya serikali alafu wanakutwa wamekufa huko. Mambo km haya yatakuwa mengi shauri yenu.
 
View attachment 3170823
=============

Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Watumishi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inasikitika na kutoa pole kwa familia na ndugu na jamaa kutokana na kifo cha mtumishi wetu wa TRA, Bw. AMANI Kamguna Simbayao kilichotokea leo mchana wa tarehe 06 Desemba 2024 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alikolazwa baada ya tukio la shambolic akiwa katika majikumu yake ya kikazi kwa maslahi ya Taifa katika eneo la Tegeta kwa Ndevu jijini Dar Es Salaam. Tunatarajia wahusika wote watafikishwa kwenye vyombo vya sheria. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
Pole zao. Wafute misingi, kanuni za kazi zao.
 
Hao walitaka rushwa tu
Nyakati hizi wavamie watu
Kwa utaratibu wasijiende ovyo
Ovyo

Ova
Of course ukienda hovyo unakuwa huna tofauti na mhalifu yoyote yule.

Muhimu vyombo vya serikali kama Usalama wa Taifa, polisi, TRA, mgambo kufuata ,taratibu, kanuni, misingi za kazi zao na kujitenganisha na vyombo vya wahuni, majambazi wahalifu wengine
 
View attachment 3170823
=============

Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Watumishi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inasikitika na kutoa pole kwa familia na ndugu na jamaa kutokana na kifo cha mtumishi wetu wa TRA, Bw. AMANI Kamguna Simbayao kilichotokea leo mchana wa tarehe 06 Desemba 2024 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alikolazwa baada ya tukio la shambolic akiwa katika majikumu yake ya kikazi kwa maslahi ya Taifa katika eneo la Tegeta kwa Ndevu jijini Dar Es Salaam. Tunatarajia wahusika wote watafikishwa kwenye vyombo vya sheria. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
Aliyemtuma na kumpa kazi ya kipolisi nae sheria imfuate.. TRA wanapitia depo gani kukmata raia wanaopigania kupata mlo wao kwa jasho watambue hilo kwanza pumbavu
 
Back
Top Bottom