TANZIA TRA inatangaza kifo cha mtumishi wao, Amani Simbayao kilichotokea leo 06/12/2024

I see, namfahamu huyu kijana ..alipita SUA Morogoro..baadae nikawa namuona na magari ya maji ya Kilimanjaro..nadhani alikuwa upande wa Sales.tukapotezana kipindi..dah alikuwa mtu mstaarabu na mpiganaji.. Lala salama Simbayaooo! ..tutaonana asubuhi iliyo njema
 
Hatari hatari sana.
 
Aligonga bodaboda zilizo-block gari yao kwa nyuma hapo ndipo alipoamsha hasira za Wananchi angetulia wala yasingemkuta makuu

RIP Marehemu
 
Ipo haja ya kurudi mezani kujipanga upya kushughulikia masuala nyeti ya jamii kwa kutumia akili na teknolojia zaidi badala ya mabavu na jeuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…