Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 3,506
- 6,305
Hapo wanaofuata kusomewa rada nadhani ni polizei
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀😀Nimesikia huruma sana kwa huyu dogo,kuna kitu kinaniambia kwanini ajali ya wabunge wa ccm waliopata ajali asubuhi hawakuondoka angalao saba kufidia roho ya huyu?
Hiyo ni Murder haiwezi kuwa manslaughter na umevunja hadi gariSo hapa case inakuwa nini? Manslaughter?
Murder kivipi kwani walitoka nyumbani wakikusudia kuuaHiyo ni Murder haiwezi kuwa manslaughter na umevunja hadi gari
Ubao unasoma 3-1 Inter Milani anaongozaView attachment 3170823
=============
Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Watumishi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inasikitika na kutoa pole kwa familia na ndugu na jamaa kutokana na kifo cha mtumishi wetu wa TRA, Bw. AMANI Kamguna Simbayao kilichotokea leo mchana wa tarehe 06 Desemba 2024 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alikolazwa baada ya tukio la shambolic akiwa katika majikumu yake ya kikazi kwa maslahi ya Taifa katika eneo la Tegeta kwa Ndevu jijini Dar Es Salaam. Tunatarajia wahusika wote watafikishwa kwenye vyombo vya sheria. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
nadhani tutaipa hadhi ya culpable homicide.
rip mtra
Game imeishaUbao unasoma 3-1 Inter Milani anaongoza
Okay niliiacha dk ya 89Game imeisha
Kumuuwa nyoka aliyemgonga mbwa mpka kupelekea kifo chake haisaidii lolote what has gone is goneYule mhanga atafute chimbo na BMW yake Mpya,
Na yeye anavyo kuwaga anateka watu wasio na hatia?Nilitaka kufurahia ila nikakumbuka huyo kijana ana ndugu wasio na hatia wanamtegemea.
TRA mmejitahidi sana kufatilia afya ya Kijana wenu.View attachment 3170823
=============
Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Watumishi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inasikitika na kutoa pole kwa familia na ndugu na jamaa kutokana na kifo cha mtumishi wetu wa TRA, Bw. AMANI Kamguna Simbayao kilichotokea leo mchana wa tarehe 06 Desemba 2024 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alikolazwa baada ya tukio la shambolic akiwa katika majikumu yake ya kikazi kwa maslahi ya Taifa katika eneo la Tegeta kwa Ndevu jijini Dar Es Salaam. Tunatarajia wahusika wote watafikishwa kwenye vyombo vya sheria. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
Hili swali yamkini hata ndugu wa marehemu hawatalijibuHuyo marehemu alikuwa ni kitengo gani hapo tra
unamkamata nani wa kumpa kesi sasa?Papo tricky hapo aisee