TANZIA TRA inatangaza kifo cha mtumishi wao, Amani Simbayao kilichotokea leo 06/12/2024

TANZIA TRA inatangaza kifo cha mtumishi wao, Amani Simbayao kilichotokea leo 06/12/2024

View attachment 3170823
=============

Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Watumishi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inasikitika na kutoa pole kwa familia na ndugu na jamaa kutokana na kifo cha mtumishi wetu wa TRA, Bw. AMANI Kamguna Simbayao kilichotokea leo mchana wa tarehe 06 Desemba 2024 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alikolazwa baada ya tukio la shambolic akiwa katika majikumu yake ya kikazi kwa maslahi ya Taifa katika eneo la Tegeta kwa Ndevu jijini Dar Es Salaam. Tunatarajia wahusika wote watafikishwa kwenye vyombo vya sheria. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
Kumbe kile kipigo Nilikuwa kikubwa🤔🙇🏿‍♂ apumzike kwa amani
 
Sasa mbona mmemkamata yule mwenye MBW X6 vizuri tu? Kwanini hao watumishi wasingetumia mbinu ya kwenda kumkata pasipo kuzua taharuki kama mlivyomkamata jana? Mmesababisha foleni isiyo na msingi kwa kublock njia na hasara kwa mali za serikali.
 
Hii ni mbaya sana mabosi wasiofuata Job description, kuwapa majukumu

yanayo hatarisha maisha ya watumishi wao. Bosi wake nae akae pembeni
kama ndie aliyewatuma kufanya kazi ya kukamata kama wao ni polisi.
 
Sasa mbona mmemkamata yule mwenye MBW X6 vizuri tu? Kwanini hao watumishi wasingetumia mbinu ya kwenda kumkata pasipo kuzua taharuki kama mlivyomkamata jana? Mmesababisha foleni isiyo na msingi kwa kublock njia na hasara kwa mali za serikali.
Wao hawapaswi kukamata watu bila kibali iwe vizuri
au vibaya sio kazi yao wao ni polisi?
 
TRA, wanajifanyaga Polisi wakati kazi yao kukusanya ushuru, ile gari walishindwa kuikamata kweupe hadi waizinge? Njia wanazotumia zitaendelea kuwaangamiza, nilionaga Mwanza wanamkimbiza mtu mpaka unasema labda ni mwizi kumbe wanataka kumtoa upepo..
 
Hawa ndiyo watekaji kabla ya kukamatwa na baada ya kukamatwa wamevaa nguo zilezile ...polisi na serikali pumbavu ya sa100 wanawaona watanganyika wajinga sana ...Naombeni majibu imekuwaje wamekamatwa na nguo zilezile za siku ya tukio tena wote wakiwa wamevaa vile vile lukas msambwanda njoo utupe majibu .
POLISI WA TZ NI WAPUUZI KABISA
 
Attachments

  • Screenshot_20241207-081658_Lite.jpg
    Screenshot_20241207-081658_Lite.jpg
    550.8 KB · Views: 5
View attachment 3170823
=============

Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Watumishi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inasikitika na kutoa pole kwa familia na ndugu na jamaa kutokana na kifo cha mtumishi wetu wa TRA, Bw. AMANI Kamguna Simbayao kilichotokea leo mchana wa tarehe 06 Desemba 2024 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alikolazwa baada ya tukio la shambolic akiwa katika majikumu yake ya kikazi kwa maslahi ya Taifa katika eneo la Tegeta kwa Ndevu jijini Dar Es Salaam. Tunatarajia wahusika wote watafikishwa kwenye vyombo vya sheria. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
Kifo ni kifo tu, hata nchi zilizoendelea wanakufa

Back
Top Bottom