TRA inazalisha mabilionea wengi kupitia wafanyakazi wake

TRA inazalisha mabilionea wengi kupitia wafanyakazi wake

Artifact Collector

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2019
Posts
6,617
Reaction score
10,205
Sina chuki na wafanyakazi wa TRA bali naongelea uhalisia
TRA ndo inayoongoza kuzalisha mabillionnaire wengi vijana wadogo wanamiaka michache kazini wanamiliki utajiri wa kutishi magari ya kifahari na mahekalu na wafanyakazi wa TRA weekdays anaenda na gari la kawaida mfano wa ict alafu weekend mlimani city unamuona na range rover

Kwa sasa-hivi mabillionaire TRA ni jambo la kawaida na miaka ijayo kwa trend hii TRA kupitia wafanyakazi wake watatoa trillionaire

Kama unataka kuwa billionnaire na baadae trillionnaire pambana uingie TRA kama mfanyakazi kule hutumii nguvu kabisa ni mwendo wa kuiba
 
Kuna jamaa yupo hapo bandari mwana anapiga aiseee ana shusha magorofa tu [emoji23] uku anasemaa hawamu hii ikipitaa ijayo haijulikan itakuwajee hvyo acha tupigee tu .

Anakauli yake ya mama anaupiga mwingi..
 
TRA ndo inayoongoza kuzalisha mabillionnaire wengi vijana wadogo wanamiaka michache kazini wanamiliki utajiri wa kutishi

Kwa sasa-hivi mabillionaire TRA ni jambo la kawaida na miaka ijayo kwa trend hii TRA kupitia wafanyakazi wake watatoa trillionaire

Kama unataka kuwa billionnaire na baadae trillionnaire pambana uingie TRA kama mfanyakazi kule hutumii nguvu kabisa
Kamba zao ndefu sana
 
Back
Top Bottom