TRA inazalisha mabilionea wengi kupitia wafanyakazi wake

Sina chuki na wafanyakazi wa TRA bali naongelea uhalisia
TRA ndo inayoongoza kuzalisha mabillionnaire wengi vijana wadogo wanamiaka michache kazini wanamiliki utajiri wa kutishi magari ya kifahari na mahekalu

Kwa sasa-hivi mabillionaire TRA ni jambo la kawaida na miaka ijayo kwa trend hii TRA kupitia wafanyakazi wake watatoa trillionaire

Kama unataka kuwa billionnaire na baadae trillionnaire pambana uingie TRA kama mfanyakazi kule hutumii nguvu kabisa
inategemea na kitengo mkuu kuna watu wapo TRA ila wanateseka
 
hao ni masikini tu,una uhakika mali walizochuma baada ya kustafu zitaendelea kuongezeka? au ndoile zinauzwa hovyo na kutaifishwa na mabenki ,hatimaye na wamiliki kukimbilia vijijini? .hao ni masikini bilionea. mtu mwenye uwezo wa kuzalisha milion kazaa na kuwa bilion huyo ndo bilionea tajiri.we sema tu hao wanamiliki ukwasi tu ila sio maTajiri
 
Sina chuki na wafanyakazi wa TRA bali naongelea uhalisia
TRA ndo inayoongoza kuzalisha mabillionnaire wengi vijana wadogo wanamiaka michache kazini wanamiliki utajiri wa kutishi magari ya kifahari na mahekalu

Kwa sasa-hivi mabillionaire TRA ni jambo la kawaida na miaka ijayo kwa trend hii TRA kupitia wafanyakazi wake watatoa trillionaire

Kama unataka kuwa billionnaire na baadae trillionnaire pambana uingie TRA kama mfanyakazi kule hutumii nguvu kabisa
Tukwepe kulipa kodi tu kilichobaki
 
Je wakisema unasukumwa na husuda kama si chuki ?!
 
Back
Top Bottom