Uko sahihi. Ni kweli wanapata hela sana. Lakini pia hawakai sana kazini. Kiwango cha kuachishwa kazi TRA ni kikubwa kuliko taasisi nyingine yeyote. Wanajenga mjumba ya kuishi kwa mbwembwe. Kazi zikiisha wanashindwa kabisa kiyahudumia majumba hayo.
Kibane baneeeee mwisho uliwe na nyenyereeeeHapanaaa [emoji23][emoji23][emoji23]
TrueSina chuki na wafanyakazi wa TRA bali naongelea uhalisia
TRA ndo inayoongoza kuzalisha mabillionnaire wengi vijana wadogo wanamiaka michache kazini wanamiliki utajiri wa kutishi magari ya kifahari na mahekalu na wafanyakazi wa TRA weekdays anaenda na gari la kawaida mfano wa ict alafu weekend mlimani city unamuona na range rover
Kwa sasa-hivi mabillionaire TRA ni jambo la kawaida na miaka ijayo kwa trend hii TRA kupitia wafanyakazi wake watatoa trillionaire
Kama unataka kuwa billionnaire na baadae trillionnaire pambana uingie TRA kama mfanyakazi kule hutumii nguvu kabisa ni mwendo wa kuiba
🤣🤣🤣🤣 Etiii Labella mambo 😆Kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake
Wamachinga ni zao la wakwepa kodi.Chalamila anafukuzana na machinga kkoo anyway mama anaupiga mwingi
Hujaulizwa na huna akili wala adabuWamachinga ni zao la wakwepa kodi.
Effects za too much rahaaaaMtu mshahara mln 3,4 lakini Ana mamilion ya feza
Kuna jamaa mmoja yuko huko anakuambia yeye mshahara wake haugusi anaishi kwa pesa za dili tu
Ila sasa hivi karibuni kisukari kimemtandika kwerikweri
Ova
🤣🤣🤣Ukweli usemwe.... nina rafiki yangu tumehu
itimu wote chuo.. mm nilisomea faculty X yeye alisomea mambo ya Pesa.. mimi niliwah kupa job.. yeye kaka kama miaka mitatu tu mtaa.. sasa yaye ni mwaka w pili kazini saivi jamaa ana usafiri af anapost mashamba ya mpunga tu... mimi mwaka wa 6 huu kazin hata usafiri sifikirii
SoJambo usilolijua ni kama usiku wa giza
ChaiNi suala la muda tu system inakuja.
Naona imekuingia.Hujaulizwa na huna akili wala adabu
IdiotKumiliki billion si kazi rahisi. Wengi wao pale wana maendeleo ya kati. Nyumba na gari, akienda sana ghorofa mbili kwenda juu na viwanja. Si maendeleo ya kutisha
Usiwakuze kihihivyo sanaa
Sina chuki na wafanyakazi wa TRA bali naongelea uhalisia
TRA ndo inayoongoza kuzalisha mabillionnaire wengi vijana wadogo wanamiaka michache kazini wanamiliki utajiri wa kutishi magari ya kifahari na mahekalu na wafanyakazi wa TRA weekdays anaenda na gari la kawaida mfano wa ict alafu weekend mlimani city unamuona na range rover
Kwa sasa-hivi mabillionaire TRA ni jambo la kawaida na miaka ijayo kwa trend hii TRA kupitia wafanyakazi wake watatoa trillionaire
Kama unataka kuwa billionnaire na baadae trillionnaire pambana uingie TRA kama mfanyakazi kule hutumii nguvu kabisa ni mwendo wa kuiba
Halalfu yule mama na mdomo wake anakomaa tulipe kodi kizalendoSina chuki na wafanyakazi wa TRA bali naongelea uhalisia
TRA ndo inayoongoza kuzalisha mabillionnaire wengi vijana wadogo wanamiaka michache kazini wanamiliki utajiri wa kutishi magari ya kifahari na mahekalu na wafanyakazi wa TRA weekdays anaenda na gari la kawaida mfano wa ict alafu weekend mlimani city unamuona na range rover
Kwa sasa-hivi mabillionaire TRA ni jambo la kawaida na miaka ijayo kwa trend hii TRA kupitia wafanyakazi wake watatoa trillionaire
Kama unataka kuwa billionnaire na baadae trillionnaire pambana uingie TRA kama mfanyakazi kule hutumii nguvu kabisa ni mwendo wa kuiba
Ni la bro wangu yuko tiaraei! Kwani wewe unatakaje?Hilo ghorofa kubwa linalojengwa hapo Mugabe ni la nani?
Ninataka kulinunuaNi la bro wangu yuko tiaraei! Kwani wewe unatakaje?
Kuna jamaa yupo hapo bandari mwana anapiga aiseee ana shusha magorofa tu [emoji23] uku anasemaa hawamu hii ikipitaa ijayo haijulikan itakuwajee hvyo acha tupigee tu .
Anakauli yake ya mama anaupiga mwingi..