TRA inazalisha mabilionea wengi kupitia wafanyakazi wake

noma sanq wale jamaa
 
Tanzania haiwezi kuendelea kwasababu ya rushwa za TRA stuff kwenye makadirio ya kodi. It will never happen
 
Mtu akipata kazi TRA basi huyo tayari kashatoboa kimaisha
 
Huko bandarini ndy kumeoza kabisa,,

Kuna siku nillimsindikiza mwanangu mmoja kwenda kumwona boss mmoja hivi jina kapuni,
.basi jamaa vile anaaga ili tuondoke,boss akavuta droo jamaa akafinyiwa $300 za nauli.,

AISEE nikasema kama jamaa kapewa $300 za nauli na hakuomba je angetangaza shida angepewa sh ngp?
. ebwana bandarini Kwa Sasa pesa inapigwa hatari sn..
Mfanyakazi wa serikali kumiliki mali za mabilioni ndy anaonekana ana akili za maisha.
 
Tena ni majizi haswaaa kuna kajamaa hakana hata nyama kimsingi hakajai mkononi kanatumia special Number nikajiuliza hivi haka ni kafanyabiashara kakubwa ama kumbe ni wala kodi zetu, udhibiti wa mapato bongo hamna kwani wanaokusanya wanakusanyia matumboni mwao.
 
Bado nafasi zipo nyingi tu za na wewe kula na sio lazima ufanye kazi TRA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…