DOKEZO TRA, kodi za kuingiza Magari ni kichefuchefu kwa Wananchi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Pumba tuuu, nimenunua gari limetembea 150,000 km 7 years ago na mpaka leo sijawahi kugusa engine.. Sana sana nabadili engine oil, filter, brake shoes, matairi etc... Juzi juzi jamaa gari yake ilipiga short na kuwaka moto na yote kuteketea... Yaani ndani ya masaa 2 yote imeuzwa scraper na hakuna kilichobaki... Narudia uwezo wa kubuni kodi mbadala hawana na wameshindwa... Tukete tax consultant kutoka hukooo kwa wenzetu waliofanikiwa...
 
Wewe umeanza vibaya Ila umemaliza vizuri mno.
Jikite na maada inayohusika mengine ya tozo Ni kibwagizo Kama hujanisoma
 
Kwahiyo maendeleo ya watu hupimwa Kwa Wing wa magari?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Angeona la kwangu la mwaka 2000 ndo angezimia...
 
Well said [emoji120] [emoji120]
 
mbona miaka ya 80,90 wabongo walikuwa wananunua magari brand new.....gari linakuja unachana mwenyewe manylon ndani
Gari unakuta ina kitabu (menu)
Ndani nk
Ina maana wanunuz wa brand new magari walikuwa ni wachache,mpaka zilipoanza kuja used ndiyo wary waliweza nunua magari

Ova
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Angeona la kwangu la mwaka 2000 ndo angezimia...
Unajua alipoona akiniagiza gari namnunulia zuri na miaka ya karibuni wala siumizi kichwa kuangalia mwaka kule mnadani maana bei hayajatofautiana sana kwa gari za Zambia ila Tanzania kabla hujanunua unaanza na kikokoteo cha TRA kwanza na punguzo kama lipo ili ununue wao wananunua tuu na Congo drc hata hizo CC hawazijui..
 
Wewe ndio dhahiri huna uelewa na unachokiongea.
 

Ubunifu zero wa viongozi, maisha yanatakiwa kua rahisi na sio kufanya ugumu wa maisha
 
Kila Kitu kwa Tz kipo juu,ni kama wanashindana kupata faida n'a wenye viwanda
Msiseme magari tu hâta mashine ndogo ndogo mfano za kuponda kokoto,kusaga,kukamua alizeti etc agiza nje uone Bei yake uone tra wanavyokufanya

Bandari mali yetu, nchi iko kwenye geografia nzuri lakini hatunufaiki na kwa kifupi hadi majirani hutushangaa kwa nini hatuko mbele yao kiuchumi wakati tuna kila kitu,
 

Hadi wajenge njia sita kwenye highway zetu itakua hatupo maana upanuzi wa barabara tu kwao ni anasa
 

Na ndio maana matajiri nchi za wenzetu wanakua vijana wadogo kwa sababu kimsingi mazingira yanawasaidia sana kufika mbali tofauti na sisi fikiria hujaanza biashara na hujapata faida eti unakadiriwa kodi ya hiyo biashara wakati kimsingi kodi inatakiwa ikatwe kwenye faida na sio mtaji
 

Mtu anawaza Tanzania kwa jicho la Dar wakati kuna watanzania wako maji moto, wana uwezo wa kununua magari kodi ikiwa himilivu na magari hayo yakawasaidia kukuza uchumi wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…