Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
TRA wabuni biashara wafanye
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo Kwa sisi wenye tuduka twa Mavazi , tunatumia Mitandao ya Kijamii kutafuta wateja.
TRA tutalipa Mara mbili pia??
Au Kodi inalenga Kijana mwenye Degree aliyekoswa Ajira, akafungua Akaunti Mitandaoni, akapata Wafuasi wengi, baadae akaona aanze kutumia Akaunti Kwa wanaohitaji kutangaz Biashara naye ??.
Hiii Kodi mnaipa jina gan?.
yaan Una Ofisi ,unalipa Kodi, Unaweka Bando ,unalipa Kodi, unaamua kuingia mtandao utangaze biashara ya Ofisi yako, Unalipa Kodi.
Wakati huohuo Kuna watu sahizi wanatorosha madini, Ufisadi maofisin sababu wameambiwa wale Kwa kamba .
HAYATI MAGUFULI ANGEKUA HAI, UJINGA KAMA HUU USINGEKUWEPO!!.
[emoji23][emoji23][emoji23] chini ya mibuyu yenye waduduAwamu Hii zamu ya Wanyonge kuishi Kama Mashetani [emoji23][emoji23]
Mutaisoma namba mwaka huu namba inayotoka kwa Mama......Duh wanakaba kila kona