Wewe unajua tulitumia njia gani.nyengine mbona mmezilalamikia ilhari ilikuwa sahihiKwanini unaamini tutashuka kutoka uchumi wakati hali ya kuwa tumefikia hatua hii bila hii njia yako ya ukusanyaji wa kodi?
Wote wenye leseni za biashara walazimishwe kutumia njia hiziMkuu hii njia yako ni ngumu kutekeleza hapa nchini.
Kuna watu kibao tu hawajui kusoma wala kuandika. Huyu atatumiaje tigopesa,mpesq and the likes?
Huko kijijini ndio usiseme ila kuhesabu hela wanajua.
Kama anajua kuhesabu pesa hata kusoma mwamala atajua.Mkuu hii njia yako ni ngumu kutekeleza hapa nchini.
Kuna watu kibao tu hawajui kusoma wala kuandika. Huyu atatumiaje tigopesa,mpesq and the likes?
Huko kijijini ndio usiseme ila kuhesabu hela wanajua.
Watanzania wote hawamiliki account, walio na account ndo wanamanufaa kwa uchumi wa nchi.Kama vile watanzania wote wanamiliki simu....
Mbona hao hao wakitumiwa pesa kwa njia ya simu na ndugu zao walioko mjini wanazipata?Mkuu hii njia yako ni ngumu kutekeleza hapa nchini.
Kuna watu kibao tu hawajui kusoma wala kuandika. Huyu atatumiaje tigopesa,mpesq and the likes?
Huko kijijini ndio usiseme ila kuhesabu hela wanajua.
Labda wewe hutumii hizi huduma za kifedha mtandao, zimekuwa ni aghali mno,kwasasa kama unakili huwezi kutunza pesa zako kwnye mitandao ya simuHeri ya sikukuu ya muungano.
Nimewaza namna ya kila mwananchi kulipa kodi bila shurti.
Yani ni hivi.Ondoa cash mitaani then kila mwananchi alipie bidhaa kwa mitandao ya simu ( M pesa,halopesa,Tigo pesa,aitel money, ttcl pesa,nk) na mitandao ya bank ( simbaking)
I tell this is the only way kila mwananchi na mfanyabiashara watalipa kodi bila kulazimishwa.wekeeni miundombinu rafiki kwa mfano gharama au kutoa ziwe nafuu sana au iwe bure kabisa
Mkikataa hii lazima tushuke kutoka uchumi wakati.asanteni
Ni mimi mwananchi mzalendo.
Tukiwa na kanuni nzuri,za ulipaji wa kodi, na ziwe wazi , kila kata iwe na afisa wa TRA, wa kutekeleza kanuni hizo KWA uwazi, tunafika vizuri tuHeri ya sikukuu ya Muungano.
Nimewaza namna ya kila mwananchi kulipa kodi bila shurti.
Yani ni hivi.Ondoa cash mitaani then kila mwananchi alipie bidhaa kwa mitandao ya simu ( M pesa,halopesa,Tigo pesa,aitel money, ttcl pesa,nk) na mitandao ya bank ( simbaking)
I tell this is the only way kila mwananchi na mfanyabiashara watalipa kodi bila kulazimishwa.w
Wekeni miundombinu rafiki kwa mfano gharama au kutoa ziwe nafuu sana au iwe bure kabisa
Mkikataa hii lazima tushuke kutoka uchumi wakati.
Asanteni
Ni mimi mwananchi mzalendo.
Una uhakika ni wote wanatumiwa na kuweza kutoa hizo pesa?Mbona hao hao wakitumiwa pesa kwa njia ya simu na ndugu zao walioko mjini wanazipata?