TRA na Wizara ya Biashara tumieni njia hizi kukusanya kodi. Kila mwananchi lazime atalipa kodi na nchi itapaa kiuchumi

TRA na Wizara ya Biashara tumieni njia hizi kukusanya kodi. Kila mwananchi lazime atalipa kodi na nchi itapaa kiuchumi

ZALEMDA

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2017
Posts
1,956
Reaction score
2,225
Heri ya sikukuu ya Muungano,

Nimewaza namna ya kila mwananchi kulipa kodi bila shurti.

Yani ni hivi.Ondoa cash mitaani then kila mwananchi alipie bidhaa kwa mitandao ya simu ( M pesa,halopesa,Tigo pesa,aitel money, ttcl pesa,nk) na mitandao ya bank ( simbaking).

I tell this is the only way kila mwananchi na mfanyabiashara watalipa kodi bila kulazimishwa. Wekeni miundombinu rafiki kwa mfano gharama au kutoa ziwe nafuu sana au iwe bure kabisa

Mkikataa hii lazima tushuke kutoka uchumi wakati.

Asanteni.

Ni mimi mwananchi mzalendo.
 
Kwanini unaamini tutashuka kutoka uchumi wakati hali ya kuwa tumefikia hatua hii bila hii njia yako ya ukusanyaji wa kodi?
 
Mkuu hii njia yako ni ngumu kutekeleza hapa nchini.
Kuna watu kibao tu hawajui kusoma wala kuandika. Huyu atatumiaje tigopesa,mpesq and the likes?
Huko kijijini ndio usiseme ila kuhesabu hela wanajua.
 
Hata
Kwanini unaamini tutashuka kutoka uchumi wakati hali ya kuwa tumefikia hatua hii bila hii njia yako ya ukusanyaji wa kodi?
Wewe unajua tulitumia njia gani.nyengine mbona mmezilalamikia ilhari ilikuwa sahihi
 
Mkuu hii njia yako ni ngumu kutekeleza hapa nchini.
Kuna watu kibao tu hawajui kusoma wala kuandika. Huyu atatumiaje tigopesa,mpesq and the likes?
Huko kijijini ndio usiseme ila kuhesabu hela wanajua.
Wote wenye leseni za biashara walazimishwe kutumia njia hizi
 
Wazo lako mtoa mada ni zuri sana, nakubaliana nawe 100%. Hatua hii itaturahishia sana hata sisi tuliopo vijijini na itatupunguzia gharama za kuwafuata hao TRA kwenye ofisi zao. WAZO ZURI.
 
Mkuu hii njia yako ni ngumu kutekeleza hapa nchini.
Kuna watu kibao tu hawajui kusoma wala kuandika. Huyu atatumiaje tigopesa,mpesq and the likes?
Huko kijijini ndio usiseme ila kuhesabu hela wanajua.
Kama anajua kuhesabu pesa hata kusoma mwamala atajua.
 
Mbona hata sasa mfumo uko hvyo,ukinunua kibiriti unakatwa kodi

Bei za vtu zmeongezeka kutokana na kodi kushupaliwa na kuongezwa
 
Tanzania bila watu kulipa kodi mambo yataenda tuu. Kwasababu ni watu wa misaada tu ya wahisani. Waziri wa Fedha na gavana wako kwa ajili ya kuhakiki fedha za wahisani walizotupa. Serikali inatakiwa iwaachie watu wasilipe tu kodi hamna tija na mantiki.

Mambo yetu ni yakimzahamzaha tu. Tulipe tusilipe kodi hamna lolote.

Hopeless unproductive people bcoz of ccm. Tuko wengi lakini helpless and hopeless bcoz of this party.

Na huo ndo ukweli
 
Mkuu hii njia yako ni ngumu kutekeleza hapa nchini.
Kuna watu kibao tu hawajui kusoma wala kuandika. Huyu atatumiaje tigopesa,mpesq and the likes?
Huko kijijini ndio usiseme ila kuhesabu hela wanajua.
Mbona hao hao wakitumiwa pesa kwa njia ya simu na ndugu zao walioko mjini wanazipata?
 
Heri ya sikukuu ya muungano.
Nimewaza namna ya kila mwananchi kulipa kodi bila shurti.

Yani ni hivi.Ondoa cash mitaani then kila mwananchi alipie bidhaa kwa mitandao ya simu ( M pesa,halopesa,Tigo pesa,aitel money, ttcl pesa,nk) na mitandao ya bank ( simbaking)

I tell this is the only way kila mwananchi na mfanyabiashara watalipa kodi bila kulazimishwa.wekeeni miundombinu rafiki kwa mfano gharama au kutoa ziwe nafuu sana au iwe bure kabisa

Mkikataa hii lazima tushuke kutoka uchumi wakati.asanteni

Ni mimi mwananchi mzalendo.
Labda wewe hutumii hizi huduma za kifedha mtandao, zimekuwa ni aghali mno,kwasasa kama unakili huwezi kutunza pesa zako kwnye mitandao ya simu
 
Heri ya sikukuu ya Muungano.
Nimewaza namna ya kila mwananchi kulipa kodi bila shurti.

Yani ni hivi.Ondoa cash mitaani then kila mwananchi alipie bidhaa kwa mitandao ya simu ( M pesa,halopesa,Tigo pesa,aitel money, ttcl pesa,nk) na mitandao ya bank ( simbaking)

I tell this is the only way kila mwananchi na mfanyabiashara watalipa kodi bila kulazimishwa.w

Wekeni miundombinu rafiki kwa mfano gharama au kutoa ziwe nafuu sana au iwe bure kabisa

Mkikataa hii lazima tushuke kutoka uchumi wakati.

Asanteni

Ni mimi mwananchi mzalendo.
Tukiwa na kanuni nzuri,za ulipaji wa kodi, na ziwe wazi , kila kata iwe na afisa wa TRA, wa kutekeleza kanuni hizo KWA uwazi, tunafika vizuri tu
 
Mbona hao hao wakitumiwa pesa kwa njia ya simu na ndugu zao walioko mjini wanazipata?
Una uhakika ni wote wanatumiwa na kuweza kutoa hizo pesa?
Mleta mada kazungumza cash itoke kabisa that means ni watu wote wasitumie cash.
Wengine hata kiswahili hawajui wewe unazungumzia kutumiwa pesa.
 
Back
Top Bottom