TRA: Taarifa kuhusu Mabadiliko ya Viwango vya Kodi ya Majengo inayotozwa kupitia ununuaji wa umeme

TRA: Taarifa kuhusu Mabadiliko ya Viwango vya Kodi ya Majengo inayotozwa kupitia ununuaji wa umeme

TRA Tanzania

Senior Member
Joined
Jul 16, 2022
Posts
128
Reaction score
370
KODI YA MAJENGO.jpg
 
Hii nchi ni ya kipuuzi sana. Kila siku mnapandisha tu kodi na tozo. Halafu mnachofanyia hizo hela mnakijua wenyewe.

Hivi hamna vyanzo vingine vipya vya mapato!
Bila shaka uko kwny kundi la 1500 per month,mkuu acha kubwatuka,lipia kodi,huwez sema huoni chochote kinachofanyika kwa kodi zetu,huo niuwendawazimu,we timiza wajibu wako
 
Bila shaka uko kwny kundi la 1500 per month,mkuu acha kubwatuka,lipia kodi,huwez sema huoni chochote kinachofanyika kwa kodi zetu,huo niuwendawazimu,we timiza wajibu wako
Acha ujinga wewe. Watu wanalipa kodi kila siku halafu zaidi ya 80% ya hizo kodi zenyewe mnazitumia kwenye mambo ya hovyo, halafu unaletea za kuleta hapa.
 
Acha ujinga wewe. Watu wanalipa kodi kila siku halafu zaidi ya 80% ya hizo kodi zenyewe mnazitumia kwenye mambo ya hovyo, halafu unaletea za kuleta hapa.
Mpatie kodi mzee mwenye nyumba ulopanga kwa wakati alipie kodi ya makazi,anaetakiwa kulalamika na mwny nyumba,apo ukute hata haujapandishiwa kodi na mwny nyumba wako na unalalamika kishenz,me sio shabiki sana wa serikali lakn siwez kusema sioni kinachofanyika kwa kodi zenu na njia zngne za mapato serikalini
 
Wametuuwa Kabisa Ccm Yaani Buku Imepanda Mpaka Kileleni
Wamekosa Vyanzo Kabisa? Halafu Aibu Hawana Kabisa
Ndege Zinakamatwa Hovyo2 Hovyo
Wabunge Wao Wanachota Cash Yao Yote Huku Wanapiga Mruzi

Walala Hoi Wametegwa Kwenye Umeme Tumenasa
 
Back
Top Bottom