Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Wewe kila kitu unaona sawa ulikubali walipoongeza Tozo kwenye Simu baadae wamefuta wao wameona kero unakubali hata haueleweki upo wapi sijazungumzia mambo ya nyumba yangu au ya kupanga nazungumzia kwa ujumla wanaweka kodi nyingi kwenye umeme unaonekana anasa wewe usiejua kitu unipe mbinu aisee...Tatizo lako wataka weka siasa kwenye vitu vya kawaida tu.
Kama wewe nyumba si yako wapaswa ongea na mwenye nyumba umueleze kuw akwenye kodi yake utaondoa 18000 ya tanesco.
Kama ulifatilia bajeti utaelewa kuwa kuanzia 2026 majengo yote yatatozwa pesa kwa thamani ya jengo husika