Bramo
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 13,176
- 10,068
Nyie Jamaa ni Wanyongaji sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie Jamaa ni Wanyongaji sana
HahahahaWao wananenepeana tu kama panya wa stoo kwa kutapanya fedha halafu mzigo unarudi kwa mlalahoi.Stupid.
Maafisa wa TRA wa mikoa mishavu ipo kama ya hiyo mipanya.Wao wananenepeana tu kama panya wa stoo kwa kutapanya fedha halafu mzigo unarudi kwa mlalahoi.Stupid.
Ili waendelee kuzipiga zaidi.Kudhibiti wizi wa pesa serikalini hamtaki. Mnazidi kuwaongezea maskini mzigo usio na msingi.....
[emoji23][emoji23]Itakua wote hatuelewi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Angalau basi hizi kodi wangekuwa wanazitumia vizuri na siyo kuziiba tu kwa kisingizio kuwa wamesharuhusiwa na Bi. Tozo kula kulingana na urefu wa kamba zao!Hii nchi ngumu sana. Kila siku mnapandisha tu kodi na tozo. Halafu mnachofanyia hizo hela mnakijua wenyewe.
Hivi hamna vyanzo vingine vipya vya mapato!
Mijitu mingine bwana🚮🚮🚮Mpatie kodi mzee mwenye nyumba ulopanga kwa wakati alipie kodi ya makazi,anaetakiwa kulalamika na mwny nyumba,apo ukute hata haujapandishiwa kodi na mwny nyumba wako na unalalamika kishenz,me sio shabiki sana wa serikali lakn siwez kusema sioni kinachofanyika kwa kodi zenu na njia zngne za mapato serikalini
Huko unapoishi hakuna property tax?Kati ya kodi za hovyo kuwahi kutokea hii ni kodi ya hovyo sana naamini vijana huko mbele watakuja kutoa huu ujinga maana wanapata Elimu....
Nchi ina Mali za kutosha hamfikirii kuwapa auweni kwa kuchaji hizi mambo sehemu ingine ili waone faida ya Rasilimali zao nyi TRA kila mkiamka kwa kuwa mawazo yenu ni mgando ni kulete kodi za hovyo hovyo tuu kama hata shule hamjawahi kupita...
It is what it is!mlitakiwa muongezee na ile ya DP World kwenye umeme ama kwenye maji ili mkamue vizuri maana hamna tena uwezo wa kutafuta vyanzo vya kulipia mikesi mliyozalisha huko duniani kwa tamaa za matumbo yenu, SHAMELESS nchi.
Wanakusanya hela ili walipe fidia kwa makampuni waliyoya unjia mikataba kihuni. CCM ni genge la panyaroad. Waliovaa suti.Hii nchi ngumu sana. Kila siku mnapandisha tu kodi na tozo. Halafu mnachofanyia hizo hela mnakijua wenyewe.
Hivi hamna vyanzo vingine vipya vya mapato!
Matumizi ya kodi tunayaona tena sana,Bila shaka uko kwny kundi la 1500 per month,mkuu acha kubwatuka,lipia kodi,huwez sema huoni chochote kinachofanyika kwa kodi zetu,huo niuwendawazimu,we timiza wajibu wako
Wewe hakuna unachokijua mkuu...hiyo kodi inalipwa kwenye kununua Umeme?au kwa wamilikia wa hiyo mijengo...unajua Zambia umeme wa Tsh 5000 unapata zaidi ya 100 units umeme sio ghari watu wanatumia kwa vitu vingi mpaka Jiko sasa jaribu kutumia Jiko la umeme kwa hizo kodi za nyumba kwenye umeme uone balaa lake...Huko unapoishi hakuna property tax?
Tatizo lako wataka weka siasa kwenye vitu vya kawaida tu.Wewe hakuna unachokijua mkuu...hiyo kodi inalipwa kwenye kununua Umeme?au kwa wamilikia wa hiyo mijengo...unajua Zambia umeme wa Tsh 5000 unapata zaidi ya 100 units umeme sio ghari watu wanatumia kwa vitu vingi mpaka Jiko sasa jaribu kutumia Jiko la umeme kwa hizo kodi za nyumba kwenye umeme uone balaa lake...