TRA: Taarifa kuhusu Mabadiliko ya Viwango vya Kodi ya Majengo inayotozwa kupitia ununuaji wa umeme

TRA: Taarifa kuhusu Mabadiliko ya Viwango vya Kodi ya Majengo inayotozwa kupitia ununuaji wa umeme

Utaratibu wa kufatilia wazee wasilipe hiyo kodi ni rafiki? Wazee wanaumia na hii kodi huku wana sifa za kutoilipa.

Wekeni Utaratibu rafiki kwa wazee na muutangaze.
Mbona ize tu,wanaandika barua tu
Kikubwa sehemu isiwe au kunafanyika biashara

Ova
 
Ee Mola mchukue huyu kiumbe wako akapumzike huko kuliko hii adha anayotuletea hapa duniani na kujilimbikizia dhambi kutokana na dua zetu mbaya.
 
Taarifa mpya kutoka TRA na TANESCO zinaeleza kwamba ile kodi ya Majengo kwa nyumba za kawaida (nyumba za wanyonge) , iliyokuwa elfu 12 kwa mwaka sasa wanyonge hao watalazimika kukamuliwa zaidi, ambapo sasa itakuwa elfu 18 kwa mwaka , ambako badala ya kukatwa elfu 1 kwa mwezi kama ilivyokuwa awali, sasa wanyonge tutalimwa sh elfu 1500 kila mwezi.

Maendeleo hayana Chama.

View attachment 2699946
Mtu amenunua tu kipande Cha ardhi Cha hatua 20 Kwa 20 ,amejeng kibanda Cha chumba kimoja na sebure ,hana hata yakumiliki hiyo ardhi kisheria anatozwa Kodi ya jengo la 1500! CcM tuikatae
 
Taarifa mpya kutoka TRA na TANESCO zinaeleza kwamba ile kodi ya Majengo kwa nyumba za kawaida (nyumba za wanyonge) , iliyokuwa elfu 12 kwa mwaka sasa wanyonge hao watalazimika kukamuliwa zaidi, ambapo sasa itakuwa elfu 18 kwa mwaka , ambako badala ya kukatwa elfu 1 kwa mwezi kama ilivyokuwa awali, sasa wanyonge tutalimwa sh elfu 1500 kila mwezi.

Maendeleo hayana Chama.

View attachment 2699946
sema mie sjaelewa hapo maana sie tumekatwa 200k tuliambiwa kwa kila ghorofa/rosha moja ni 100k so tukalipa 200k, na hyo ilitokea baada ya kila tukiweka umeme unagoma

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom