TRA: Taarifa kuhusu Mabadiliko ya Viwango vya Kodi ya Majengo inayotozwa kupitia ununuaji wa umeme

TRA: Taarifa kuhusu Mabadiliko ya Viwango vya Kodi ya Majengo inayotozwa kupitia ununuaji wa umeme

Waweke iwe Afu 3 kwa mweziii tujengee nchi jamanii...[emoji1][emoji1]

Nadhani hii ndo Kodi pekee ambayoo Inamfanya mwigulu aonekane kichwa mbele ya mama... Na watazidi kupandisha daily sababu haipigiwi kelele ila ni hela nyingi sana maana kila mwenye Luku analipa 1500 kwa mwezi sasa.
 
Taarifa mpya kutoka TRA na TANESCO zinaeleza kwamba ile kodi ya Majengo kwa nyumba za kawaida (nyumba za wanyonge) , iliyokuwa elfu 12 kwa mwaka sasa wanyonge hao watalazimika kukamuliwa zaidi , ambapo sasa itakuwa elfu 18 kwa mwaka , ambako badala ya kukatwa elfu 1 kwa mwezi kama ilivyokuwa awali , sasa wanyonge tutalimwa sh elfu 1500 kila mwezi .

Maendeleo hayana Chama .
Ndio tiari na waziri wake huwazi kupandisha kodi iliyo na sio kutafuta vyanzo vipya kwa kuwa akili hiyo hawana kabisa na kuumiz kichwa kwao ni mtihani mkubwa
 
[emoji3166][emoji848]
img_6_1685852232714.jpg
 
Waweke iwe Afu 3 kwa mweziii tujengee nchi jamanii...[emoji1][emoji1]

Nadhani hii ndo Kodi pekee ambayoo Inamfanya mwigulu aonekane kichwa mbele ya mama... Na watazidi kupandisha daily sababu haipigiwi kelele ila ni hela nyingi sana maana kila mwenye Luku analipa 1500 kwa mwezi sasa.
Na kiukweli ni KODI YA LUKU , maana nyumba moja ikiwa na luku 4 zote zinakatwa tozo
 
Utaratibu wa kufatilia wazee wasilipe hiyo kodi ni rafiki? Wazee wanaumia na hii kodi huku wana sifa za kutoilipa.

Wekeni Utaratibu rafiki kwa wazee na muutangaze.
Kwamba 18000 kwa mwaka anaumia?
 
Back
Top Bottom