Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo ya hovyo ni yapi?Acha ujinga wewe. Watu wanalipa kodi kila siku halafu zaidi ya 80% ya hizo kodi zenyewe mnazitumia kwenye mambo ya hovyo, halafu unaletea za kuleta hapa.
Duh, kazi kweli kweli!
Mkuu rasilimali ilizokua nazo nchi hii iwapo ndio ingekua nchi ya wanasiasa wanategemea kuchaguliwa kihalali na wananchi basi kusingekua na maongezeko ya kodi na tozo kama hivi,kilichopo kwa sasa wanasiasa awahofii wapiga kura sababu wanajua namna gani wanashinda kipindi cha uchaguziBila shaka uko kwny kundi la 1500 per month,mkuu acha kubwatuka,lipia kodi,huwez sema huoni chochote kinachofanyika kwa kodi zetu,huo niuwendawazimu,we timiza wajibu wako
Wewe ni hopeless! aka empty head.Mpatie kodi mzee mwenye nyumba ulopanga kwa wakati alipie kodi ya makazi,anaetakiwa kulalamika na mwny nyumba,apo ukute hata haujapandishiwa kodi na mwny nyumba wako na unalalamika kishenz,me sio shabiki sana wa serikali lakn siwez kusema sioni kinachofanyika kwa kodi zenu na njia zngne za mapato serikalini
wewe ukiulizwa utafariki lini unaweza jua?Mtakuwa mnakusanya kodi Tsh ngap kwenye bandari baada ya DP World kuwekeza.
Kwamba mwanaume mzima kulipa 50 kila siku waona kubwa sana?Wametuuwa Kabisa Ccm Yaani Buku Imepanda Mpaka Kileleni
Wamekosa Vyanzo Kabisa? Halafu Aibu Hawana Kabisa
Ndege Zinakamatwa Hovyo2 Hovyo
Wabunge Wao Wanachota Cash Yao Yote Huku Wanapiga Mruzi
Walala Hoi Wametegwa Kwenye Umeme Tumenasa
Sasa utakuwa wamkomoa nani?Me sivutii umeme kwangu
Kwamba huko barabarani huoni lami?Hii nchi tabu sana wanaendelea kukamua ingawa matumizi ya hizo pesa yanazidi kubanwa (Hakuna kuajiri wala kutoa ujira) kila kitu tunafungua nchi wawekezaji waje wafanye (miradi ni mikopo) na nyingine ni kama zawadi mfano madarasa ya COVID...
Napenda kuuliza Hizo pesa zinakwenda WAPI ?!!!!!!
Wasiliana na TRA, TanescoHii kodi imekaaje kwa wale wambao ni wapangaji (hawamiliki majengo)