TRA: Taarifa kuhusu madai ya Diamond Platnumz

SASA cha Ajabu Wakimbizi na wazamiaji wanaishi Kwa Raha na kufanya dhuruma Kwa Raia Kwa KUSHIRIKIANA na tuliowapa dhamana.
Piga ua lazima tukubaliane kwamba kwenye eneo la utumishi wa Umma Kuna kitu kinatakiwa kufanyika.
 
Tanzania sio salama kabisa kiuwekezaji! Inavyo onekana kuna watu ukiwa nao tofauti kidogo wanakumaliza
 
Tumia akili, hawajaongelea maswala ya kodi, wametoa taarifa isiyohusika na malipo ya kodi, wameondoa taharuki
Kutokea base ya tatizo kama mtu wamemjibu kwa barua walileta hapa hilo suala ili iweje?

Pengine ni mfumo wa hovyo watanzania ndio mmezoeshwa issue imeshakuwa communicated between two parties na wanasema inahitaji usiri why waielete huku?

Mbona Tume ya uchaguzi wakiombwa ufafanuzi kuhusu taarifa za kura huwa hawaleti ?

Hapo kuna watu wanajifaidisha kimaslahi tu kwa kauli hii sio kwamba hawaelewi wanachofanya.
 
Kodi Ni asilimia ngapi ya unachopata mfano mshakata percent zenu inamaana kwenye buku ikabaki 900 nikaamua tumia navotaka Bado mtahoji
 
Kulipa kodi ni kosa kubwa huwezi kumbembeleza mkwepa kodi,TRA wako sahihi
Nakubaliana na wewe 100% kodi sio swala la kubembelezana.

Ila ukusanyaji uzingatie taratibu za sheria hatua kwa hatua, ndio issue ya msingi hapa. Uwezi kufunga account za mtu ambae anatoa ushirikiano na wala hajui kosa lake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…