TRA toeni basi hayo matokeo ya oral leo si ndio tarehe 26 au na leo mnataka muombe misamaha mingine

Hizo marks zimetokana na baadhi ya watu kuingia na simu na kuzitumia, kuangaliziana
Pole sana ndugu yangu bado oral sasa, usishangae unaweza piga 100% na oral ikakupiga vibaya mno,but always kuna next time kama una pumzi wewe pambana tuu.
 
Kazi kweli kweli hakuwa na namba na kachaguliwa how comes ? 😂😂😂
Nimepata alama ambazo hazigawanyiki kwa mgawanyo wa alama za maswali. Nashindwa kuelewa. Inakuaje napata swali alama nusu kwenye Maswali ya objective. Cut off marks 74 napataje 73 kwa maswali 40 yenye alama ya 2.5 kila swali??? Hii 73 inakujaje hapo kwenye maswali ya objective????
 
Yaan hapo maana yake kunywa chai yenye vitumbua 70 na chupa 3 za chai kisha relax subiria interview nyingine ukaipasue wataita tena
 
Hii sio sawa aise...hii itawaathiri sana vijana hao..
Ndio kawaida ya mapambano hakuna kukata tamaa hata km ulikula 0 ila amini kwamba interview ijayo utapiga 100 siku yako haikua hio ndio maana ukataga
 
Pole sana....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…