Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kutoa maoni kuwa Tovuti mpya ya mfumo wa TANCIS unasumbua tangu ulipozinduliwa Januari 20, 2025, maoni hayo yamepokelewa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).
TRA ilizinduwa mfumo huo na kueleza una maboresho na utakaosaidia kurahisisha uondoshaji wa Hivi shehena Bandarini, Viwanja vya Ndege pamoja na mipakani.
Kusoma maoni ya Mdau bofya hapa ~ Mfumo wa TANCIS ulioboreshwa umekuwa unasumbua tangu uzinduliwe
JamiiForums imezungumza na Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi - TRA, Richard Kayombo kuhusu hoja hiyo ya Mdau, anajibu:
“(TANCIS) Ni mfumo mpya bado unafanyiwa kazi, maoni ya Mdau yamepokelewa, Mkandarasi ambaye ni Mkorea bado yupo kwenye kazi hajaondoka.
“Maoni yote yanafanyiwa kazi mara moja, wasiwe na hofu kuhusu mfumo, unaweza kuwa na changamoto za hapa na pale kwa kuwa ni mfumo mpya, cha msingi ni kujipanga, nawasisitiza yeyote mwenye maoni atuletee tutapokea.”