denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
Mungu amemkabidhi mamlaka shetani hasa ya ulimwengu huu, lazima uwe matured enough kutambua hilo, na kutii hizo mamlaka za aina hiyo ni sawa na kutii mamlaka za shetani.Mungu hakushindwa kuzuia lolote
"Kila mtu hana budi kutii serikali inayotawala. Kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na serikali zote zilizopo zimewekwa na Mungu."
"Enyi mlioamini Mtiini Allah, na mtiini Rasuli (Wake Muhammad) na Wale waliopewa mamlaka kutoka miongoni mwenu, ...... (Qur'ani, 4:59)