mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Sawa mama d wewe ni kama malaika hukosei
Kama unamuamini Mungu maturity ni kuishi kadri ya maelekezo yake na sio kuishi kwa vile unavyoona inakupendeza wewe. Mungu hapangiwi wala wala hafanyiwi jeuri, Mungu anaombwa ili mapenzi yake yatimie
1 Petro 2:13-17
13 Jinyenyekezeni kwa ajili ya Bwana chini ya mamlaka yote ya wanadamu: ikiwa ni mfalme ambaye ana mamlaka ya mwisho;
14 au ikiwa ni wakuu wengine ambao amewateua kuwaadhibu wahalifu na kuwasifu watendao mema.
15 Kwa maana ni mapenzi ya Mungu kwamba kwa kutenda mema myazime maneno ya kijinga ya watu wapumbavu.
16 Ishini kama watu huru lakini msitumie uhuru wenu kama kisingizio cha kutenda uovu; bali muishi kama watumishi wa Mungu.
17 Waheshimuni watu wote. Wapendeni ndugu waamini. Mcheni Mungu. Mheshimuni mfalme.
Hufanyi makosa wala dhambi
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app