Mungu amemkabidhi mamlaka shetani hasa ya ulimwengu huu, lazima uwe matured enough kutambua hilo, na kutii hizo mamlaka za aina hiyo ni sawa na kutii mamlaka za shetani.Mungu hakushindwa kuzuia lolote
"Kila mtu hana budi kutii serikali inayotawala. Kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na serikali zote zilizopo zimewekwa na Mungu."
"Enyi mlioamini Mtiini Allah, na mtiini Rasuli (Wake Muhammad) na Wale waliopewa mamlaka kutoka miongoni mwenu, ...... (Qur'ani, 4:59)
Hata ukipewa lifti unatakiwa umkumbushe dereva vinginevyo wote mtapigwa faini!Wameanza kukamata watu kwenye petrol stations (na Mimi leo nimepost jambo kuhusiana na gari, ila nilipewa lifti tu).
Mamlaka ya shetani yako kuzimu siyo ulimwenguni!Mungu amemkabidhi mamlaka shetani hasa ya ulimwengu huu, lazima uwe matured enough kutambua hilo, na kutii hizo mamlaka za aina hiyo ni sawa na kutii mamlaka za shetani.
Wewe ulipigwa faini lini kama mnunuzi?Hivi kwani hili ni jipya?
Sawa mkuu ikitokea tena nitamkumbusha mmiliki wa chombo adai risiti.Hata ukipewa lifti unatakiwa umkumbushe dereva vinginevyo wote mtapigwa faini!
Hata ukifanya ngonoHata tukinywa soda?
Hata ukifanya ngonoHata tukinywa soda?
Fine kwa woteWewe ulipigwa faini lini kama mnunuzi?
Hata ukifanya ngonoHata tukinywa soda?
Fine kwa woteWewe ulipigwa faini lini kama mnunuzi?
Kuna wakati Mungu amemkabidhi mamlaka shetani hasa ya ulimwengu huu, lazima uwe matured enough kutambua hilo, na kutii hizo mamlaka za aina hiyo ni sawa na kutii mamlaka za shetani.Kama unamuamini ishi mapenzi yake aliyoagizi
Sikupigwa faini lakini kuna kipindi nilikuwa nalazimishwa kuchukua risiti.Wewe ulipigwa faini lini kama mnunuzi?
Kazi yao ni kuchukua Kodi zetu na ukihoji matumizi yake unaletwa wasiojulikana,DPP ufanya yake ushahidi kukamilika ni Hadi utoe pesa,.Mamlaka ya mapato Tanzania ( TRA) imetoa mwongozo wa kisheria kwa wananchi wote kwamba endapo utanunua bidhaa au Huduma ni lazima udai risiti..
Mamlaka ya dunia ikikwambia ua utaua? I hope so kama unaiheshimu iliyopatikana kwa njia za kitapeli, but mwenzio mwenye hayo mamlaka hapa duniani anaogopa kuweka saini kwenye hati ya kifo ili mtu anyongwe, tafakari.Kama unamuamini Mungu maturity ni kuishi kadri ya maelekezo yake na sio kuishi kwa vile unavyoona inakupendeza wewe. Mungu hapangiwi wala wala hafanyiwi jeuri, Mungu anaombwa ili mapenzi yake yatimie...
Ungejua hii dunia ndio kuzimu yenyewe, au wewe unadhani kuzimu ni wapi?! uliwahi kufika?Mamlaka ya shetani yako kuzimu siyo ulimwenguni!
Nani kauliwa hapa???Mamlaka ya dunia ikikwambia ua utaua? I hope so kama unaiheshimu iliyopatikana kwa njia za kitapeli, but mwenzio mwenye hayo mamlaka hapa duniani anaogopa kuweka saini kwenye hati ya kifo ili mtu anyongwe, tafakari.
Kuketi chini na DPP...hahaha..Jamaa sasa wanabuni kila njia ya kukusanya mapato ile SGR ikamilike, ile ya uhujumu uchumi na kuongea na DPP wameona inaanza kupwaya, watuhumiwa wanakaribia kwisha magerezani.
2Kwa hiyo anayepinga mamlaka inayotawala ana pinga chombo kilichowekwa na Mungu; na watu wanaoasi watajiletea hukumu.Ungejua hii dunia ndio kuzimu yenyewe, au wewe unadhani kuzimu ni wapi?! uliwahi kufika?
Usikimbie hoja bibie, kaa kwa kutulia...unadai unaheshimu mamlaka za dunia, nimekuuliza hiyo mamlaka unayodai kuiheshimu ikikwambia uue utaua? kwasababu hiyo pia ni adhabu ya huu ulimwengu.Nani kauliwa hapa???
Maada hapa ni kulipa kodi sio kuua.Usikimbie hoja bibie, kaa kwa kutulia...unadai unaheshimu mamlaka za dunia, nimekuuliza hiyo mamlaka unayodai kuiheshimu ikikwambia uue utaua? kwasababu hiyo pia ni adhabu ya huu ulimwengu.