TRA: Ukinunua bidhaa na usipodai risiti utapigwa faini ya kati ya Tsh. 30,000 na Tsh. 1,500,000

Mema ya mamlaka mbovu unayajua? mfano wake ni kusifia uovu, ukijaribu kuyaonya kwa kuyapinga uovu wanaofanya utaishia kuokotwa kwenye kiroba Coco Beach.

Kusifiwa na huyo mwenye mamlaka ni sawa na kusifiwa na shetani.
 
Maada hapa ni kulipa kodi sio kuua.
Weka maada ya kuua ijadiliwe
Hope umeshaona ilivyo ngumu kuheshimu mamlaka za ulimwengu, vingine vigumu huwezi kuvitetea.
 
Uko sahihi kwa maandiko lakini sio vitendo
 
Aliyeandika Biblia alikuwa mtu mwenye akili sana alijua haya yote na kwa maslahi ya utawala
 
Bwashee, wale machinga mnao watoza elfu 20 za vitambulisho nao wanatoa risiti au kwa kauli hii mnatuambia tusinunue bidhaa zao?
 
Mema ya mamlaka mbovu unayajua? mfano wake ni kusifia uovu, ukijaribu kuyaonya kwa kuyapinga uovu wanaofanya utaishia kuokotwa kwenye kiroba Coco Beach.

Kusifiwa na huyo mwenye mamlaka ni sawa na kusifiwa na shetani.
Mungu atabaki kuwa Mungu tuu hata pale ambapo mapenzi yetu hayatimii bado ni Mungu.

Kama unaamini Mungu yupo ongea nae kwa kila kitu
 
Hope umeshaona ilivyo ngumu kuheshimu mamlaka za ulimwengu, vingine vigumu huwezi kuvitetea.
Epuka usumbufu na adhabu

Lipa kodi, toa risiti, dai risiti
 
Anayepaswa kupigwa faini ni mtoaji risiti na si mteja! Tunakoelekea tutakuwa tunaviziana!
 
A Bible is an Opium for the People by .....philosopher mmoja makini!!!
 
Sipendi mtu anayejidai kunukuu nukuu vifungu vya maandiko ya dini kwenye sehemu ambazo hata hakungekuwa na ulazima/haja ya kufanya hivyo
 
Sijaelewa kidogo...
Kwamba mwanzo ilikuwa kuhamasisha (optional) ila sasahivi imekuwa kuamrisha (obligatory)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…